Simba Sports Club ndani ya Bunge!

Lua

JF-Expert Member
May 19, 2011
704
305
Club ya simba muda huu wamewasili mjengoni, bado hawajatambulishwa coz shughuli za bunge bado zinaendele za kusoma vifungu.
 
Ni wabunge hawa hawa waliopitisha bajeti finyu ya wizara ya michezo na utamaduni, ndio wanaofulrahia kuzialika simba na yanga bungeni, kwa Yanga nadhani walikuwa sahihi kualikwa kwa sababu ya umuhimu wa mashindano ya kombe la kagame, japo bado sioni mantiki pia ya Yanga kualikwa kupeleka kombe bungeni, leo hii Simba nao wametinga bungeni na ngao ya hisani, sijui tunaelekea wapi na suala la michezo , haya sasa ni maigizo
 
Mh, ndo' maana mpira wetu unadumaa, vikombe vya mbuzi
tunaanza kupongezana kwa kupelekana bungeni!
 
Siamini, yaani kila kikombe lazima kiende bungeni au ndo u - Rageism (wivu wa kitoto)
 
sioni mantiki ya simba kualikwa mjengoni...hawa wabunge wanatukata tu hamna lolote
 
Kama ni kweli basi kwa kiasi kikubwa wabunge wengi wanatabia za kike 'WIVU' (SAMAHANINI KINAMAMA SINA LENGO LA KUWADGARIRHA) Simba imeenda bungeni kwa sababu Yanga walienda basi hakuna cha ziada.
 
kinachoendelea ni ushabiki tu kuwa kwa kuwa yanga walialikwa bungeni basi na simba nao waalikwe ili kuwafurahisha wabunge wanazi wa simba..simba angalieni musitoke na nuksi za anna makinda mkafungwa kila mechi kama yanga walivyo ambulia mikong'oto mara tano na jana wameambulia sare..
 
sioni mantiki ya simba kualikwa mjengoni...hawa wabunge wanatukata tu hamna lolote

Mkuu hauoni mmepata mafanikio makubwa sana kuifunga yanga, maana ulikuwa unakatika mwaka wa pili mnachezea vichapo vya yanga, pelekeni hiyo nepi yenu ya hisani.
 
wabunge tuondoleeni matatizo siyo kuziita simba na yanga huko kama mnashida na wachezaji si mngekuja siku ya simba day..
 
Mkuu hauoni mmepata mafanikio makubwa sana kuifunga yanga, maana ulikuwa unakatika mwaka wa pili mnachezea vichapo vya yanga, pelekeni hiyo nepi yenu ya hisani.
kama ni kuwafunga yanga tuliwafunga kwa zaidi ya miaka nane nini miaka miwili..haimanishi naunga mkono simba kukaribishwa bungeni
 
Simba ana kila sababu ya kwenda bungeni sio kwa sababu kashinda ngao ya hisani ila kwa sababu M/kiti wao ni mbunge. Yanga hakuwa na sababu kwa sababu kombe alilolichukua yeye sio wa kwanza kufanya hivyo, Simba SC ashalichukua mara kibao tena zaidi ya Yanga lakini hajawahi kwenda huko bungeni.
 
Mh, ndo' maana mpira wetu unadumaa, vikombe vya mbuzi
tunaanza kupongezana kwa kupelekana bungeni!

kweli mpira wa tanzania hautakaa uendelee, kombe la mbuzi mjengoni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! inashangaza
 
Simba ana kila sababu ya kwenda bungeni sio kwa sababu kashinda ngao ya hisani ila kwa sababu M/kiti wao ni mbunge. Yanga hakuwa na sababu kwa sababu kombe alilolichukua yeye sio wa kwanza kufanya hivyo, Simba SC ashalichukua mara kibao tena zaidi ya Yanga lakini hajawahi kwenda huko bungeni.

ipotezeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, hakukuwa na sababu kupeleka kombe la mbuzi
 
wabunge hawana mpango wowote, wkati timu zinajiandaa kwa mashindano hawaonekani kutoa misaada mbalimbali muhimu kwa maandalizii. timu ikishinda haraka sana ...njooni bungeni. Hovyo, ningewaona wamaana wakakichangia kila mtu 20,000 tu katika posho yao moja ya siku .
 
waache tu waende kwani yanga walikuwa na umuhimu gani kualikwa wakati ule?na hata baadhi ya wabunge walipohoji walijibiwa kishabiki zaidi kwanza yanga ni bingwa tz bara pia ni bingwa wa kagame cup,jiulize simba wamechukua mara ngapi kagame cup na lini walialikwa bungeni au kwa kuwa mnasema yanga ni ccm?
 
kati ya simba na yanga hakuna hata mmoja aliyestahili kuingia bungeni basi tu ushabiki wa wabunge usio kuwa na kichwa wala miguu! Kwa ni hizo zina maendeleo gani ya maana tangu zianzishwe? Mara kumi wangewaita azam fc ambao wameanza kuleta mapinduzi kwa kujenga uwanja wao wenyewe kuliko hivyo vitimu viwili vinavyoendeshwa kimiujiza ujiza kila kukicha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom