Hata mechi ya simba na Yanga ya hivi karibuni ambapo simba ilishinda goli moja haikuoneshwa kabisa wala kipindi cha michezo hakikutangaza.kinyume na taratibu za uandishi hapa inadhibitisha madai ya mbunge Adam Malima dhidi ya Mengi yana ukweli. ITV na Redio one hawafuati maadili ya kazi zao.
Kama taasisi binafsi wanahali fulani ya utoto utoto hivi, na hali hii ni dhahiri wanaweza kutumia vibaya nafasi yao waliyonayo kukuchafulia jina. Kwani Manji anahisa pale Simba au hapo Simba kuna binamu yake Manji? Tusubiri tuone zaidi.
Bifu hiyo ya Simba na ITV/radio one imechambuliwa kwa undani sana na gazeti la Raia mwema.
Fuata kiungo hiki kupata taarifa zaidi za habari hiyo. http://www.raiamwema.co.tz/07/11/7/16.php#
Hivi juzi mlitoka kuwalalamikia E-fm, leo ITV/Radio one. Anzisheni vyombo vyenu vya habar ka mnahisi kuonewa, after all hamna haki ya kulazimisha kutangazwa, hvyo ni vyombo binafsi.
malalamiko fc mnaboa sana, kidume hakisifiwi kulialia