Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,803 Reaction score 76,993 Jun 14, 2020 #41 Simba 1-0 JKT
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,830 Reaction score 40,638 Jun 14, 2020 #42 devijoy said: Kichuya wa nini hapo!? Click to expand... Anaweza weka hata mbili leo.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,706 Reaction score 140,419 Jun 14, 2020 Thread starter #43 25' Simba 1-0 Ruvu
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,706 Reaction score 140,419 Jun 14, 2020 Thread starter #44 Kennedy said: Simba 1-0 JKT Click to expand... ni Shooting mkuu sio JKT
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,706 Reaction score 140,419 Jun 14, 2020 Thread starter #45 refa kapeta penati
Dam55 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,669 Reaction score 12,044 Jun 14, 2020 #46 Ila Simba wanapiga soka la burudani aisee daah!!
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,706 Reaction score 140,419 Jun 14, 2020 Thread starter #47 Luis anakamua hapa haaa haaa
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,706 Reaction score 140,419 Jun 14, 2020 Thread starter #48 kazi nzuri Aishi Manula
Mkendo JF-Expert Member Joined Oct 14, 2013 Posts 3,142 Reaction score 2,243 Jun 14, 2020 #49 Safi sana Kichuya.
Dam55 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,669 Reaction score 12,044 Jun 14, 2020 #50 OKW BOBAN SUNZU said: Luis anakamua hapa haaa haaa Click to expand... Huyu dogo anajua si mchezo
chiqutitta JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 1,160 Reaction score 3,125 Jun 14, 2020 #51 Simba nguvu moja
Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,277 Jun 14, 2020 #52 31' Aishi Manila anafanya kazi ya kuokoa hatari moja kwa kuruka juu na kuokoa mpira nakuwa kona ambayo haikuzaa bao. Ilikuwa hatari lango la Simba SC
31' Aishi Manila anafanya kazi ya kuokoa hatari moja kwa kuruka juu na kuokoa mpira nakuwa kona ambayo haikuzaa bao. Ilikuwa hatari lango la Simba SC
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,706 Reaction score 140,419 Jun 14, 2020 Thread starter #53 Gooooooooooo Ruvu wanapata bao
Dam55 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,669 Reaction score 12,044 Jun 14, 2020 #54 Wamepata goli ila lazima wakae tu leo
Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,277 Jun 14, 2020 #55 36' Goooooooooooaal Ruvu wanasawazisha kupitia Fully Maganga kwa kichwa Simba SC 1-1 Ruvu Shooting
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,706 Reaction score 140,419 Jun 14, 2020 Thread starter #56 namna gani HD
Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,277 Jun 14, 2020 #57 45+3' Kipindi cha kwanza kimemalizika ambapo timu zote mbili zinatoka zikiwa zimefungana bao moja kwa moja HT; Simba SC 1-1 Ruvu Shooting
45+3' Kipindi cha kwanza kimemalizika ambapo timu zote mbili zinatoka zikiwa zimefungana bao moja kwa moja HT; Simba SC 1-1 Ruvu Shooting
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,706 Reaction score 140,419 Jun 14, 2020 Thread starter #58 HT Simba 1- Ruvu 1
D devijoy JF-Expert Member Joined Oct 25, 2018 Posts 1,031 Reaction score 1,372 Jun 14, 2020 #59 Maganga yupo vizuri... OKW BOBAN SUNZU said: HT Simba 1- Ruvu 1 Click to expand...
Dam55 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,669 Reaction score 12,044 Jun 14, 2020 #60 Hawa leo wanakufa vizuri tu wala msiwe na hofu.