Simba Sc Vs Ruvu Shooting,Uwanja wa Taifa

Simba ni li genge la wauni na wavuta gongo na wanywa bange na wahaini kazi yao kubwa ni kuniharibu mpira wa Tz kwa kuhonga marefa na kununua mechi, kupulizia sumu tim pinzan n.k, Uwezo wao uwanjani ni mdogo kweli kweli adi huruma
 
Unapata shida ya nini kurudia? Mbona tumeshakujibu hapo juu wewe na Bumbuli ni group moja la WhatsApp
 
Kama ni genge la wahuni mpelekee ripoti IGP Siro
Simba ni li genge la wauni na wavuta gongo na wanywa bange na wahaini kazi yao kubwa ni kuniharibu mpira wa Tz kwa kuhonga marefa na kununua mechi, kupulizia sumu tim pinzan n.k, Uwezo wao uwanjani ni mdogo kweli kweli adi huruma
 
Ila Timu ya Simba inakabilia na tatizo la Umri mkubwa kwa wachezaji wake.
Beki zote vikongwe kasoro Zimbwe na Gadieli
Foward zote vikongwe na akina miraji hawaanzi.
Kama hao ndio wanaenda ktk mashindano ya Africa tutaishia hatua za awali.
Twendege tu hivyo hivyo ki ajira ajira
 
Tujikumbushe mechi za mwisho.
Yanga 0 Ruvu shuting 1
Azam 0 Ruvushuting 1
KMC 0 Ruvushuting 2
Simba 1 Ruvushuting 1

Hapo nani wa kumcheka mwenziye

Hapo Utopooliga tayari wameshadevelop small Team mentality :D

Yani Simba ikitoa sare na Timu iliyowagegeda wao ndiyo wanaamua kufurahi :D
 
Back
Top Bottom