Simba SC vs Ashanti United

Halaf kama kibadeni kafanana na sir elton john hv au mimi macho yangu mabovu.
 
Azam TV wako vizuri, nimewakubali. Jambo la msingi wapate masafa yao. Wamedhamiria kufanya kweli.
 
Timu zinarudi uwanjani, Mnyama anaenda kuuwa sasa
 
Mkuu huo mfano umenifanya nicheke sana, hali ya mtani ni tete sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…