Simba SC vs Ashanti United

leo droo ya mabao mawili kwa mawili. twendeni kazi
 
Simba watie Adabu hao mapweta wa sidiria
 
goool ashanti wamechoa husein swedi
 
wazee wa ndala utawaona wamerudi, walikuwa hawamo humu
 
awa mabeki sijui vip wanamuacha mtu anapiga free header
 
Wazee wa droo....naona watoto wa Ilala washachomoa
 
Kweli ashanti ndo wameanza ligi.
 
Nadokezwa kutoka Chamazi, JKT Ruvu wanaongoza goli moja bila dhidi ya Coastal Union.
 
Simba inajengwa na Mziki wake utaonekana mwakani. Yeyote anayejenga Timu lazima apitie kipindi hiki kigumu
 
simba sasa mnatia huruma.. Nawaonea huruma saanaaaaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…