Simba SC v Young Africans SC

kwa mara ya kwanza jana nilikaa VIP ya elfu 20,kwa mara ya kwanza jana niliingia uwanjani saa 6,kwa mara ya kwanza jana sikuthubutu kuingia Jf jukwaa la sport ili kusoma na kutuma post kilichojili uwanjani,kwa mara ya kwanza jana kufuatilia michezo yote 2 yaani ule wa watoto na baadae game kuu kwa umakini wa hali ya juu na kumsoma mchezaji mmoja mmoja,nimegundua Chuji ni noma pia Barthez anastaili kuitwa timu ya taifa,pia jana niyonzima alikuwa moodless na game ya jana,
 
Matokeo ya mechi ya vijana yalikuaje?
 
game ya watoto wa ynga vs wa simba iliishaje mkuu?
 
mkuu game ya vijana Simba B 1 - Yanga B 0, goli lilipatikana kipindi cha kwanza lakini sikufanikiwa kupata jina la mfungaji,licha ya Yanga B lakini walitawala mchezo dk zote 90 na katika idara zote,tatizo kubwa la Yanga B ni umaliziaji tu ila kiukweli vijana wako safi sana
 
32.jpg

25.jpg

27.jpg

Picha kwa hisani ya Blog ya Mahmoud Zubeiry a.k.a Bin Zubeiry

Kweli washabiki mnao, dume zima linajifanya kuwa jimama kwa sababu tu ya utani halafu alivyopozi kwa hako kajamaa sasa, au ni njaa tu alikuwa anatafuta hela; na huyo mwingine naye sijui kasomea wapi hata malkia kashindwa kuiandika.
 
ahahahahahhh, masuke, mwambie tu kitoabu aje, nitampa na wine kdg ili asione maruweruwe usingizini, kushinda raha jamani, ona kitoabu anavyohaha kutafuta pa kulala, njoo pande hii mwaya nitakufadhili tu

Huyu sijui kalala wapi, tatizo la kutoa ahadi za ajabu ajabu, inanikummbusha kitabu cha darasa la saba enzi hizo ile habari ya "Mweka nadhiri na Shetani" alivyohangaika kumpata huyo shetani. Kitoabu njoo huku ueleze ulikolala au ulifuata wine za ram
 
Last edited by a moderator:
kwa mara ya kwanza jana nilikaa VIP ya elfu 20,kwa mara ya kwanza jana niliingia uwanjani saa 6,kwa mara ya kwanza jana sikuthubutu kuingia Jf jukwaa la sport ili kusoma na kutuma post kilichojili uwanjani,kwa mara ya kwanza jana kufuatilia michezo yote 2 yaani ule wa watoto na baadae game kuu kwa umakini wa hali ya juu na kumsoma mchezaji mmoja mmoja,nimegundua Chuji ni noma pia Barthez anastaili kuitwa timu ya taifa,pia jana niyonzima alikuwa moodless na game ya jana,

Mkuu ina maana ulikuwa unaangalia wachezaji wa upande mmoja tu, tupe na za wale wa upande wa pili.
 
Kweli washabiki mnao, dume zima linajifanya kuwa jimama kwa sababu tu ya utani halafu alivyopozi kwa hako kajamaa sasa, au ni njaa tu alikuwa anatafuta hela; na huyo mwingine naye sijui kasomea wapi hata malkia kashindwa kuiandika.
Hayo yako ni maneno tu, hata kwenye khanga yapo mtani......

Hii hapa chini ndio Habari ya mjini.......Kama nawaona vile mnavyoumia mioyoni 'mabinti' wa Malkia wa Nyuki....

Last edited by a moderator:
Hayo yako ni maneno tu, hata kwenye khanga yapo mtani......

Hii hapa chini ndio Habari ya mjini.......Kama nawaona vile mnavyoumia mioyoni 'mabinti' wa Malkia wa Nyuki....

Kweli ni maneno, lakini kutokana na hiyo picha kuna mawili, ni njaa au akili haiko sawa ndo unaweza kufanya. Fikiria mtani uone mtoto wako wa kiume kapozi hivyo, unadhani utafurahia tu kwa sababu ni ushabiki?
 
Last edited by a moderator:
mkuu game ya vijana Simba B 1 - Yanga B 0, goli lilipatikana kipindi cha kwanza lakini sikufanikiwa kupata jina la mfungaji,licha ya Yanga B lakini walitawala mchezo dk zote 90 na katika idara zote,tatizo kubwa la Yanga B ni umaliziaji tu ila kiukweli vijana wako safi sana

pw mkuu,haina mbaya,madogo tumewalipia kwa 2-0!
 
Hahahahaha Lunyasi Julio amesema nini? Mimi nawashauri tu Simba kwa kuwa wanaandaa hawa "watoto" kwa ajili ya ligi ya mismu ujao, kwa nini kwanza wasiwapeleke kushiriki Kombe la Coca Cola kabla ya kuwapeleka kupambana na wanaume!
 
......
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1368963206031.jpg
    uploadfromtaptalk1368963206031.jpg
    8 KB · Views: 85
Kweli ni maneno, lakini kutokana na hiyo picha kuna mawili, ni njaa au akili haiko sawa ndo unaweza kufanya. Fikiria mtani uone mtoto wako wa kiume kapozi hivyo, unadhani utafurahia tu kwa sababu ni ushabiki?
Hiyo ni sanaa tu mtani.....Unakuwa kama haujawahi kuwaona Original Comedy na Ze Comedy mtani
 
Hahahahaha Lunyasi Julio amesema nini? Mimi nawashauri tu Simba kwa kuwa wanaandaa hawa "watoto" kwa ajili ya ligi ya mismu ujao, kwa nini kwanza wasiwapeleke kushiriki Kombe la Coca Cola kabla ya kuwapeleka kupambana na wanaume!

Pia kosa kubwa lilowagharimu simba jana ni kukubali kuchezea mpira rangi ya njano
 
Hiyo ni sanaa tu mtani.....Unakuwa kama haujawahi kuwaona Original Comedy na Ze Comedy mtani
Ni kweli mtani ni sanaa lakini kwenye Original Comedy na Ze Comedy hakuna kinachoniudhi kama hao jamaa kujifanya wanawake na wengine kukata viuno ovyo ovyo bila kujali hivyo vipindi vinaangaliwa na watu wa umri tofauti tofauti. Hata hivyo nawapongeza kwa ushindi.
 
Mkuu ina maana ulikuwa unaangalia wachezaji wa upande mmoja tu, tupe na za wale wa upande wa pili.

mkuu kiukweli bila unafiki sikuona mpira wa maana aliocheza Simba kwa jana,kisaikolojia tu walionekana kama hawana raha hata kabla ya mechi,kila mchezaji alikuwa anacheza kivyake tena bila kuonyesha juhudi,ni sawa pia Niyonzima naye alikuwa kama wachezaji wa Simba kwa jana
 
Back
Top Bottom