Simba Sc Next Level wazindua uzi matata kabisa

Acha kukariri kila anayekosoa ni wa upande wa pili wa timu pinzani, CAF kwenye inahusikaje?

Hiyo jezi nyeupe yenye rangi nyekundu mbele hawawezi cheza na timu kama Al Ahly inayotumia jezi nuekundu

Kwa hiyo kumbe upande wa pili mnajikubali kweli kuwa ni utopolo!?
Halafu inaonekana wewe ni kilaza sana, rudia kusoma nilichoandika ukielewe! Kama huwezi kuelewa muonyeshe jirani yako mwenye uelewa mkubwa zaidi yako akueleweshe ili pia ujue CAF nao wanahusika vipi na masuala ya chezi za club bingwa!
Then hiyo jezi nyeupe tu ndio umeona haifai dhidi ya Al Ahly? Jezi ya tatu ya Al Ahly unaijua!? Au unaelewa mantiki ya kuwa na jezi tatu?
 
Timu mwenyeji anavaa jezi yake aliyoipanga kuitumia akiwa home. ila timu ngeni ndio itakayoamua kuvaa jezi namba tatu ikiwa jezi zake zote mbili zinafanana na timu mwenyeji.
 
Wabunifu ni SIFURI KABISA

Ndiyo ujue hizi klabu zetu watu hawatumii akili, hivi wakienda kucheza na timu inayotumia jezi nyekundu hao Simba watavaa jezi ipi?
sema klabu yao sio klabu zetu. Yanga wako next level kabisa.

Tafuta uzi unaofanana na Yanga bara zima la afrika. huwezi kupata.
 
126e2613-f73b-4c33-bc7f-d0083e22f372.jpg
 
Kwa hiyo kumbe upande wa pili mnajikubali kweli kuwa ni utopolo!?
Halafu inaonekana wewe ni kilaza sana, rudia kusoma nilichoandika ukielewe! Kama huwezi kuelewa muonyeshe jirani yako mwenye uelewa mkubwa zaidi yako akueleweshe ili pia ujue CAF nao wanahusika vipi na masuala ya chezi za club bingwa!
Then hiyo jezi nyeupe tu ndio umeona haifai dhidi ya Al Ahly? Jezi ya tatu ya Al Ahly unaijua!? Au unaelewa mantiki ya kuwa na jezi tatu?
Empty mind
 
Yanga Wana Nongwa Jamani
Wanataka Simba Ivae Kaniki?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Pongezeni Jezi Nzuri Sana Inayoendana Na Ukubwa Wa Simba Yenyewe ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Yanga Wataenda FIFA Kulalamika
 
Back
Top Bottom