NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,206
- 12,726
NALIA NGWENA niliwahi kuandika humu kuhusu janja janja na upigaji unaotengenezwa na viongozi wa Simba sc kuhusu kumuajili MTU wa scouting ambaye kiuhalisia hakuwa na kazi yoyote Bali akiwekwa Kama kivuli tu lakini Kuna kundi la viongozi linalosajili wachezaji na kujipatia 10 percent.
Je kumtimua Robertinho ni mwarobaini wa kuleta matokeo Chanya na furah kwa wanasimba?
Jibu hapana hatakama Simba sc itamleta Morinho kutoka ughaibuni atafukuzwa tu kwa kuwa Kuna USWAHILI mwingi katika kuendesha timu haswa linapokuja suala la kusajili wachezaji Bora na wenye viwango.
Hakuna kocha anayeweza kuvumilia katika suala la kupangiwa kikosi na wazee wa ten percent ili mchezaji wao acheze na wapate kilichokuwa Chao katika mifuko Yao.
Ipo wazi bila ya kificho kuwa Manula siyo pendekezo la kocha katika mechi ya juzi due to match fitness lakini wazee wa ten percent walilazimisha Hilo na kumpangia kocha kikosi.
Nani asiyejua kuwa Chama hakua katika mfumo wa kocha Robertinho!? Kilichotokea tumekiona baada ya kumtoa nje viongozi na mashabiki oya oya walipiga kelele Chama arudi hata Kama Hana kiwango.
Kocha ni kocha tu huyu Robertinho ndiyo katuletea kibu Denis mpaka kwenye timu ya taifa anaitwa, hiyo ni baada ya Robertinho kumuacha Pape osumain Sakho na kumchagua Kibu Denis.
Nelson Okwa baada ya kutimuliwa pale msimbazi aliwafungua ubongo mashabiki kwa kuwaambia kuwa "viongozi wa Simba sc hupanga wachezaji wanaowataka" huu ni ukweli usiopingika.
Maoni Yangu: Simba sc kumfukuza Robertinho siyo mwarobaini wa kutengeneza kikosi Bora ninachokiona mabadiliko yaanze kwenye uongozi kwanza kwani uongozi Bora na utendaji Bora huleta mafanikio Chanya.