Simba SC kukutana na miamba hawa

Simba SC kukutana na miamba hawa

ANT DRUGS

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
5,221
Reaction score
6,451
PLAY OFF CAF CCC KUWAKUTANISHA

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Simba SC
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Tp Mazembe
๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ RS Berkane
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Pyramids
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ JS Kabylie
๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Enyimba
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ CS Sfaxien
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ Coton Sport
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Orlando Pirates
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Al Masry

Wakati MAKOLO FC wanahangaika kutafuta mchawi ni nani miamba hii inapiga push up.

Sasa ni rasmi wamepewa RED ARROWS washindwe wenyewe.Goli limepanuliwa
 
Bado Gor Mahia, Hearts of Oak, Rivers United na zingine tena nafikiri mpaka zitimie 16.
 
Caf huwa wanaipendelea sana mikia sijui kuna nini, hapo utashangaa anapangiwa cs sfaxien au cotton sport
Mipango mkuu hata wale Al-Ahally huwa hawakutani na tim ngumu hatua za mtoano.

Pia kumbuka Rais wa CAF ni Msouth anatukumbuka kwa kuwapinga Makaburu
 
Kapewa kibonde zaidi ya J. Galaxy
Kibonde wapi, saivi mikia hawana timu. Kama anakaziwa na Dodoma jiji, hiyo Arrow โžก reds kwa nn isiwapige? Hata Jwaneng Galaxy mlisema hivyohivyo. Kiko wapi sasa? ๐Ÿ˜
 
Aah bwana ndugu yangu akili yangu nzito ungenishtua nisitoe siri. Hawa red arrows ni vibonde sana. Tena watapigwa 5 kwa mkapa na kwao watakula 3.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃTHIS IS SIMBA BRO.
 
Back
Top Bottom