The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
uwezekano wa kuwafunga wale watu kule kwao ni mdogo sana,tuwe realistic jamani.
baada ya dkk 90 leo naomba uje hapa jamvini u confess,mimi pia nitarudi hapa.
Nimetimiza ahadi nimerudi, hali mbaya ila imepigana kiume mpaka kufikia hatua ya matuta. Hatujatolewa kizembe na tumekubali kushindwa.
Warudi kupambana kwenye ligi kuu ya Vodacom.
Nimetimiza ahadi nimerudi, hali mbaya ila imepigana kiume mpaka kufikia hatua ya matuta. Hatujatolewa kizembe na tumekubali kushindwa.
Warudi kupambana kwenye ligi kuu ya Vodacom.
Mimi sio msemaji wa Simba SC lakini kwa hali yoyote sio rahisi kwa wapenzi wa Simba kuiombea dua jema Yanga katika mtinange wake huko Cairo dhidi ya Waarabu.... sababu kubwa ni kwamba hata kama wakiombea dua jema Yanga wakishinda badala ya kuikashifu timu waliyoifunga wao wanaigeukia Simba kwa kejeli, kashfa kwa gia ya utani wa JADI .............namaliza kwa kusema kila mtu na mzigo wake !!!!!! :target:
Penalty yanga 3 Al hilay 4 lakini ni kweli ni bahati tuu haikuwa kwetu maana kipa Dida kicheza penati 2