Simba SC kamwe haiwezi kuiombea dua jema Yanga

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Mimi sio msemaji wa Simba SC lakini kwa hali yoyote sio rahisi kwa wapenzi wa Simba kuiombea dua jema Yanga katika mtinange wake huko Cairo dhidi ya Waarabu.... sababu kubwa ni kwamba hata kama wakiombea dua jema Yanga wakishinda badala ya kuikashifu timu waliyoifunga wao wanaigeukia Simba kwa kejeli, kashfa kwa gia ya utani wa JADI .............namaliza kwa kusema kila mtu na mzigo wake !!!!!! :target:
 
ni kweli,mimi naomba yanga wafungwe tu na watolewe kesho.sababu ni hizo hizo mkuu!jambo jingine baya ni yanga kutamani wachezaji wa simba kila wakati. :shut-mouth:
 
.....Wanasahau walivyohamasishana kununua kwa maelfu jezi la TP Mazembe mpaka leo zimezagaa jijini... leo wanaomba dua za Watanzania... :rofl:
 
ni kweli,mimi naomba yanga wafungwe tu na watolewe kesho.sababu ni hizo hizo mkuu!jambo jingine baya ni yanga kutamani wachezaji wa simba kila wakati. :shut-mouth:

Ukiomba dua mbaya ndiyo wanafanya vizuri, pole sana, hata mchezo wa awali wa Yanga na Al-Ahily Simba walijifanya kuwachukua wapenzi wake ili wakafyeke bunju eti wajenge uwanja ndani ya suku 100, mradi tu wasiende uwanjani, kiwanja cha mpira kijengwe kwa siku 100? Labda cha makuti, duwa yao ikagonga mwamba mapato 484M na ushindi juu, Yanga ikapata 232M Simba ikaambulia 4M mbeya, ndiyo maana mishahara hakuna Simba.
 
......... Kwa kweli Yanga kiboko kumbe hamhitaji dua za wa TZ !!!!!!
 
Siwezi kuomba jema kwa timu nisiyoipenda.
Nasema 'na wapigwe tu' huko Cairo
 
  • Thanks
Reactions: y-n
......... Kwa kweli Yanga kiboko kumbe hamhitaji dua za wa TZ !!!!!!

Simba siyo WaTanzania, ni sehemu tu ya WaTanzania wachaze, waliobaki wanaiombea duwa njema, Simba uvumilivu hawana, na ustaalabu hakuna, Yanga ilirungwa goal 5 haikuvunja hata kiti kimoja, Yanga imeifunga tu Al ahly wamevunja viti kwa roho mbaya.
 
ni kweli,mimi naomba yanga wafungwe tu na watolewe kesho.sababu ni hizo hizo mkuu!jambo jingine baya ni yanga kutamani wachezaji wa simba kila wakati. :shut-mouth:

Dua la kuku halimpati mwewe, endelea kuota hivyohivyo. Mlianzia kuwanga hapa na tukawaonyesha kazi yaani siku ile tulizifunga timu mbili, mkiwemo simba.
 
Kumbe unapenda football? Nitakuwa nakupitia twende wote.
 
Ligi ya home munataka kushuka daraja ligi za wanaume munakuwa watabiri sasa,yanga yenyewe inajitosheleza haihitaji msaada wowote kutoka simba sana sana tunawaruhusu kuzomea
 
ni kweli,mimi naomba yanga wafungwe tu na watolewe kesho.sababu ni hizo hizo mkuu!jambo jingine baya ni yanga kutamani wachezaji wa simba kila wakati. :shut-mouth:

Utaipenda tu yanga ndugu yangu
 
Dua la kuku halimpati mwewe, endelea kuota hivyohivyo. Mlianzia kuwanga hapa na tukawaonyesha kazi yaani siku ile tulizifunga timu mbili, mkiwemo simba.

.......Kwa kweli mna hali ngumu .... na dua zetu ni kuiombea Yanga icharazwe mji uwe kimya................. :nono: :A S 2152: :cell: :boink::washing::flock::argue::washing: watu walale mapema

kuanzia kesho jioni jezi za yanga zitapungua mitaani
 
Simba siyo WaTanzania, ni sehemu tu ya WaTanzania wachaze, waliobaki wanaiombea duwa njema, Simba uvumilivu hawana, na ustaalabu hakuna, Yanga ilirungwa goal 5 haikuvunja hata kiti kimoja, Yanga imeifunga tu Al ahly wamevunja viti kwa roho mbaya.

Huwa nikikumbuka goli 5 bila napata raha sana , tuliwakomesha isee safi sana simba , wanajua ni mda gani wafanye nn kama siku ya mtani jembe daah mlikuja na ma mbwembwe ya kufa mtu , mkakalishwa tatu bila haa haaa "simba dam dam"
 
Mimi sio msemaji wa Simba SC lakini kwa hali yoyote sio rahisi kwa wapenzi wa Simba kuiombea dua jema Yanga katika mtinange wake huko Cairo dhidi ya Waarabu.... sababu kubwa ni kwamba hata kama wakiombea dua jema Yanga wakishinda badala ya kuikashifu timu waliyoifunga wao wanaigeukia Simba kwa kejeli, kashfa kwa gia ya utani wa JADI .............namaliza kwa kusema kila mtu na mzigo wake !!!!!! :target:
Mkuu unachokiongea ni halali kabisi, kumbuka juzi Simba kapigwa faini na TFF ya milion moja kwa kujihusisha na uchawi hadharani.

Hivyo sidhani kama mchawi anaweza kuwa na dua njema, na hata akiamua kuzitoa hazitakubalika mbele za Mungu.

Simba acheni Uchawi fanyeni mazoezi kwa bidii mtafanikiwa huo ukalumanzila wenu hautawasaidia kitu.!
 
Kumbe unapenda football? Nitakuwa nakupitia twende wote.

Kupita kiasi na ni mnazi wa Yanga na nje ni Chelsea.
Yanga ikicheza huwa naenda kuisupport, naipenda sana kutoka moyoni.
Tuwe tunaenda wote shemeji yangu.
 
Safi sana shemeji yangu mpenzi nitakuwa nakupitia, ngoja warudi toka Misri.
 
Kupita kiasi na mnazi wa Yanga na nje ni Chelsea.
Yanga ikicheza huwa naenda kuisupport, naipenda sana kutoka moyoni.
Tuwe tunaenda wote shemeji yangu.
Safi sana, hongera kwa kushabikia timu bora.

tuko pamoja.!
 
Back
Top Bottom