Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,108
- 2,508
Mpira wa Simba unabadilika badilika mpaka unapata ladha tamu ya soka lenyewe, acha tu Simba iitwe Simba!!Mkuu Simba ilicheza na back three.yaani
Wawa. Kennedy. Nyoni
Kapombe. Lwanga. Mzamiru. Zimbwe
Miquesson. Chama
Mugalu
Ila inaposhambulia Nyoni alikua anaongezeka ndani anacheza na Lwanga ,kisha mzamiru anasogea juu zaidi kuwa connect ya Mugalu ,Chama na luis
Wakati huo pale nyuma anabaki Wawa na Kennedy.Kennedy jana alikua kama stopper ndamana uliona jana Kennedy aliinjoi sana maana kazi zote zilifanywa na Nyoni na Wawa yeye alikua anaokota tu anapiga kulia anapiga kushoto.
Kapombe na zimbwe walikua ma wingbacks wakianzia kwenye mstari wa kati kati ya uwanja.