This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,903
- 4,979
Hilo neno Lina maana pana. Al Ahly ni timu ambayo tulishakutana nayo mara nyingi na tunawamudu. Na ili Al Ahly awe bingway hachezi na Simba tu anacheza na wengine pia.TP Mazembe amechukua CAFCL mara tano.
Al ahly amechukua CAFCL mara 10...
Na Al Ahly kuwa bingwa mara kumi haiondoi ukweli kuwa tunammudu.
Al Ahly hawezi kuja kwa Mkapa kucheza na Utopolo akaja kwa wasi wasi sababu anajua Ni timu yenye viwango vya chini.
Al Ahly anakiri kuwa anaogopa viwanja vitatu Afrika 1.Kwa Mkapa-simba
2.Lubumbashi-Tp Mazembe
3.Na Mamelod -SA
Kwa soka la kimataifa Yanga ni timu ndogo Sana Afrika.