Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba ilizidiwa kila idara, una hakika kwamba aliyekusimulia aliangalia mpira?
Kila idara Simba alizidiwa, au huangalii takwimu za mchezo unabishana tu??? Simba wamezidiwa mno kuliko unavyodhania wewe, tunawasifu Onyango na Inonga kwa sababu timu ilikuwa inashambuliwa. Ball Possession SIMBA amezidiwa vipindi vyote viwili, afu unakuja hapa unashangilia asee tuna safari ndefu sana ya kimpira.
 
Kila idara Simba alizidiwa, au huangalii takwimu za mchezo unabishana tu??? Simba wamezidiwa mno kuliko unavyodhania wewe, tunawasifu Onyango na Inonga kwa sababu timu ilikuwa inashambuliwa. Ball Possession SIMBA amezidiwa vipindi vyote viwili, afu unakuja hapa unashangilia asee tuna safari ndefu sana ya kikimpira.
Wewe topolo statistics never lies... na zinaonyesha Utopolo ndiyo ilizidiwa... acha kujitekenya.

Total Shoots On target 3 vs Utopolo 2
Total Shoots Off target 7 vs Utopolo 3
Ball Possession kipindi cha pili 58% vs Utopolo 42%
 
Hizi ni takwimu zako Hadi kipindi cha 2 mmezidiwa ball possession, zaidi mlichoongoza ni faulo
 
Wewe topolo statistics never lies... na zinaonyesha Utopolo ndiyo ilizidiwa... acha kujitekenya.

Total Shoots On target 3 vs Utopolo 2
Total Shoots Off target 7 vs Utopolo 3
Ball Possession kipindi cha pili 58% vs Utopolo 42%
Hizi stats za ball possession Ni za kubumba kama lile kibarua lenu la CUF
 
Kila idara Simba alizidiwa, au huangalii takwimu za mchezo unabishana tu??? Simba wamezidiwa mno kuliko unavyodhania wewe, tunawasifu Onyango na Inonga kwa sababu timu ilikuwa inashambuliwa. Ball Possession SIMBA amezidiwa vipindi vyote viwili, afu unakuja hapa unashangilia asee tuna safari ndefu sana ya kimpira.
Takwimu za ku possess mpira?

Ambazo yanga walikua wanacheza kwenye eneo lao?
 
Nimeangalia mpira kwa umakini sana. Simba walikuwa wanapoteza mipira hovyo kuliko Yanga, hata kipindi cha pili Simba bado hawakufanya shambulizi lolote la maana golini kwa Yanga zaidi ya Shuti moja la Kanoute, nadhani watu wameona ameperform kisa tu kupiga shuti lile, ila katikati Simba hawakuwa vizuri na hata Kanuote amepoteza mipira mingi sana. Simba wamecheza rafu nyingi zaidi ya Yanga hii inaonesha ni jinsi gani walikuwa wanajihami dhidi ya mashambulizi.
Onyango amefanya kazi nzuri sana kwa kumdhibiti Mayele na sio INONGA.
Next game Simba isirudie makosa kuwaanzisha MORRISON, KIBU, DILUNGA NA KAGERE kwa pamoja, walikuwa mzigo mzito kwa viungo wakabaji wa Simba maana hawawezi kukaba pindi mpira unakuwa kwa YANGA.
Kwa ujumla mechi ilikuwa nzuri tena sana, refa kachezesha vizuri, makosa yaliyopo ni ya kibinadamu tu.
Hahahaha umeandika kama kwenu tuu ndo kuna Azam tv
 
Wewe topolo statistics never lies... na zinaonyesha Utopolo ndiyo ilizidiwa... acha kujitekenya.

Total Shoots On target 3 vs Utopolo 2
Total Shoots Off target 7 vs Utopolo 3
Ball Possession kipindi cha pili 58% vs Utopolo 42%
Hizo takwinu za Ball Possession ni umeokota huko, ila Yanga walidominate game mwanzo mwisho. Na kama Simba wangeongoza kwa kiwango hiko unachosema wewe basi OVERALL BALL POSSESSION ANGEONGOZA YEYE.
USHABIKI KAMA HUU NDIO TUNAITA USHABIKI MAANDAZI.

Takwimu za mchezo hizi hapa.
20211211_213136.jpg
20211211_213139.jpg
 
Wewe topolo statistics never lies... na zinaonyesha Utopolo ndiyo ilizidiwa... acha kujitekenya.

Total Shoots On target 3 vs Utopolo 2
Total Shoots Off target 7 vs Utopolo 3
Ball Possession kipindi cha pili 58% vs Utopolo 42%

Hizi ni takwimu za "Opta ya tz" (i.e. Azam). Na takwimu hazisemi uongo ndugu.
Umeziona takwimu za azam unajua zinasemaje nenda kaangalie alafu urudi hapa
 
Kila idara Simba alizidiwa, au huangalii takwimu za mchezo unabishana tu??? Simba wamezidiwa mno kuliko unavyodhania wewe, tunawasifu Onyango na Inonga kwa sababu timu ilikuwa inashambuliwa. Ball Possession SIMBA amezidiwa vipindi vyote viwili, afu unakuja hapa unashangilia asee tuna safari ndefu sana ya kimpira.
Ball possession full time Ilikua ni 51 kwa 49, kama uliangalia mpira utakubaliana na mimi kuwa hizo 49 Simba wame possess kuelekea mbele na yanga walikua wakicheza kwenye eneo lao bila manufaa yeyote baada ya wakina Aucho kuzidiwa eneo la katikati, hivyo walikua wakijaribu kuwavuta Simba ili wapige mipira mirefu.
 
Hizo takwinu za Ball Possession ni umeokota huko, ila Yanga walidominate game mwanzo mwisho. Na kama Simba wangeongoza kwa kiwango hiko unachosema wewe basi OVERALL BALL POSSESSION ANGEONGOZA YEYE.
USHABIKI KAMA HUU NDIO TUNAITA USHABIKI MAANDAZI.

Takwimu za mchezo hizi hapa.View attachment 2041165View attachment 2041166
Yanga ameposses zaidi kwenye eneo lake baada ya kuzidiwa eneo la kati na akina sadio kanoute na Mkude, hivyo wakaanza kupiga pass nyingi kwenye eneo lao ili kuwavuta Simba alafu wapige mipira mirefu, hivyo tuachane na ball possession sababu haina maana yeyote kama unaposses kwenye eneo lako. Twende kwenye attempts ambapo simba ame-attempt mara nyingi zaidi ya yanga hii inamaana kwamba Simba ameshambulia zaidi ya yanga.
 
Yanga ameposses zaidi kwenye eneo lake baada ya kuzidiwa eneo la kati na akina sadio kanoute na mkude, hivyo wakaanza kupiga pass nyingi kwenye eneo lao ili kuwavuta Simba alafu wapige mipira mirefu, hivyo tuachane na ball possession sababu haina maana yeyote kama unaposses kwenye eneo lako. Twende kwenye attempts ambapo simba ame-attempt mara nyingi zaidi ya yanga hii inamaana kwamba Simba ameshambulia zaidi ya yanga.
We mzima lakini? Yaani wamiliki mpira golini kwao afu wazidi kwa KONA?? WAZIDIWE KWA FAULO?? Uko timamu kichwani wewe??.
 
Hizo takwinu za Ball Possession ni umeokota huko, ila Yanga walidominate game mwanzo mwisho. Na kama Simba wangeongoza kwa kiwango hiko unachosema wewe basi OVERALL BALL POSSESSION ANGEONGOZA YEYE.
USHABIKI KAMA HUU NDIO TUNAITA USHABIKI MAANDAZI.

Takwimu za mchezo hizi hapa.View attachment 2041165View attachment 2041166
Tofauti ya 2% is a statistical tie. Kuzidiwa kuko wapi hapo? Tofauti ya Shoots ni kubwa (50%) zaidi ya utopolo, ndiyo maana tunasema utopolo mlizidiwa.
 
Back
Top Bottom