Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

TP Mazembe amechukua CAFCL mara tano.

Al ahly amechukua CAFCL mara 10...
Hilo neno Lina maana pana. Al Ahly ni timu ambayo tulishakutana nayo mara nyingi na tunawamudu. Na ili Al Ahly awe bingway hachezi na Simba tu anacheza na wengine pia.

Na Al Ahly kuwa bingwa mara kumi haiondoi ukweli kuwa tunammudu.

Al Ahly hawezi kuja kwa Mkapa kucheza na Utopolo akaja kwa wasi wasi sababu anajua Ni timu yenye viwango vya chini.

Al Ahly anakiri kuwa anaogopa viwanja vitatu Afrika 1.Kwa Mkapa-simba
2.Lubumbashi-Tp Mazembe
3.Na Mamelod -SA

Kwa soka la kimataifa Yanga ni timu ndogo Sana Afrika.
 
Yani Nyie Muwe Saizi Ya Al Ahly Au Zamakek Hv Huoni Aibu??, Haya Kwa Mpira Upi?? Au Kwa Pesa Zipi??
Labda tu umeanza kushabikia mpira leo.

Al Ahly tulikuwa nae kundi moja MWAKA jana na tulimwongoza akaja nyuma yetu. Anatujua.

Hao hao zamalek wanaijua vzr Simba.

Hapa hatuongelei uchumi wa klabu bali performance ya mpira uwanjani. Ndiyo maana Mazuzu hamna akili.
 
Unajipa moyo tu ila kwa mpira huna cha ajabu umekimbizwa kama mtoto kipindi cha 2 ndo kdg umezinduka

Huyo Al ahly utamweza wap?
Nikazinduka wewe ukalala ukasali mechi iishe haraka.

Umesahau tu kwa uchache Al Ahly tulikuwa nae makundi klabu bingwa Africa mwaka jana. Anatujua vzr tumemuuzia na mchezaji coz Simba Ni klabu bora.

Pale utopoloni Al Ahly atamsajili nani. Kabwili?
 
One day jaribu kuchambua mpira kwa kuweka unazi pembeni mkuu

Naheshimu sana michango yako
Refa alijitahidi sana kubalansi ile mechi otherwise Utopolo angelala vizuri tu.

Refa yy ndiye anajua kwanini ilibidi afanye hivyo. Siri yake.
 
hilo neno Lina maana pana. Al Ahly ni timu ambayo tulishakutana nayo mara nyingi na tunawamudu. Na ili Al Ahly awe bingway hachezi na Simba tu anacheza na wengine pia...
Malmo FF ndo timu iliyocheza mechi nyingi na Real Madrid katika UEFACL.

Real Madrid ndo GOAT katika UEFACL kwa maana ana title 13.

Malmo FF hana title yoyote ya UEFACL.

Lakini FC Barcelona ana title 5 za UEFACL

FC Barcelona na Real Madrid hawajawi kukutana kabisa katika UEFACL.

Sasa kati ya Malmo FF na Barcelona Nani ana level sawa na Real Madrid?

Ukipata jibu relate na shudu uliyoiandika wewe MbuX3.
 
Malmo FF ndo timu iliyocheza mechi nyingi na Real Madrid katika UEFACL.

Real Madrid ndo GOAT katika UEFACL kwa maana ana title 13...
Mkuu acha fix Barca wamewahi kukutana na Real Madrid.

lionel_messi_scores_the_opening_goal_in_barcelona_s_2-0_victory.jpg
 
Labda tu umeanza kushabikia mpira leo.

Al Ahly tulikuwa nae kundi moja MWAKA jana na tulimwongoza akaja nyuma yetu. Anatujua..
Hiiii...!! We Kweli Popoma Sasa Nyie Mna Performance Gani Kuizidi National Al Ahly Si Mngekuwa Mabingwa Nyie Basi...Na Kwanza Mbona Mpo Shirikisho Huko?

Kama Nyie Level Sawa Na Izo Timu..Al Ahly Anaweza Kutolewa Kichoko Kama Nyie Na Timu Ya Ajabu Ajabu Ina Jina Gumu Kaa Gololi
 
Hiiii...!! We Kweli Popoma Sasa Nyie Mna Performance Gani Kuizidi National Al Ahly Si Mngekuwa Mabingwa Nyie Basi...Na Kwanza Mbona Mpo Shirikisho Huko? Kama Nyie Level Sawa Na Izo Timu..Al Ahly Anaweza Kutolewa Kichoko Kama Nyie Na Timu Ya Ajabu Ajabu Ina Jina Gumu Kaa Gololi
popoma niko shirikisho nyie wajanja mko Mapinduzi cup. Sluggish!
 
Malmo FF ndo timu iliyocheza mechi nyingi na Real Madrid katika UEFACL.

Real Madrid ndo GOAT katika UEFACL kwa maana ana title 13...
Unaruka ruka tu.

Narudia ongea mpaka utapike ulimi lakini Utopolo si level zetu. Kimataifa level zetu ni Al Ahly. Hao ndiyo saizi yetu wala hatuna hofu kukutana nao.

Najua hii kauli inawachoma sana. Kwasababu safari yenu ni ndefu sana kimataifa na hao wachezaji wenu wa mchongo Tena wachovu.

Pole Mkuu!
 
Hiiii...!! We Kweli Popoma Sasa Nyie Mna Performance Gani Kuizidi National Al Ahly Si Mngekuwa Mabingwa Nyie Basi...Na Kwanza Mbona Mpo Shirikisho Huko? Kama Nyie Level Sawa Na Izo Timu..Al Ahly Anaweza Kutolewa Kichoko Kama Nyie Na Timu Ya Ajabu Ajabu Ina Jina Gumu Kaa Gololi
mm sizungumzii ubingwa nazungumzia performance ya Simba dhidi ya timu kubwa km hizo.

Mbona hata la 3ujamaa akisoma ataelewa ninachoongea?

Acha Musukuma apate PhD tu kwasababu.
 
popoma niko shirikisho nyie wajanja mko Mapinduzi cup. Sluggish!
Mkuu hivi yule Bocco ndo Anafanya Mjitutumue Kiasi Hicho mpaka Kujifananisha na Level ambazo Hata Robo Hamjafika Ok!! ila Angalieni Tu Msijambe...
 
mm sizungumzii ubingwa nazungumzia performance ya Simba dhidi ya timu kubwa km hizo...
Mna Performance Gani Wewe JEHU, Usilete Stori Za Shangazi Yako...Sasa Si Mngekuwa Mnakuwa Mabingwa Nyinyi Kama Nyie Kweli Wa Level Moja....
 
Back
Top Bottom