Nachukua fursa hii kusema radhi zenu tumezipokea na tumewasamehe. AsanteView attachment 2333807
Simba Nguvu Moja.
Tunaomba radhi kwa kuruhusu hilo goli 1. Toka mashindano yaanze leo ndio tumeruhusu goli
Yanga princess wao vipi???Hakuna mahusiano yoyote ya kufika fainali na kuchukua kikombe. Bahati nzuri mpira wa miguu tafsiri ya ubora wako ni vikombe tu. Ndugu zangu Mbumbumbu fc
Ili mtambulike chukueni ubingwa.






