Simba oyeeee

Simba oyeeee

...dah! 5-0...mnyama kafanya vitu vyake...lazima jangwani leo wachapane.
 
Yanga wamegombana na 'techinical team' yao au? Vile vibabu na mikoba yao wako wapi?
 
jamani mimi nai myanga pure but kweli naumia sana na hii timu kiasi kwamba sipend hata kuskia inacheza
 
Ritz umewaharibia wenzako. unaona matatizo ya kuokota watu barabarani na kuwapa madaraka?.
 
Jamani JF tunaomba uzi wa heshima yetu ili watani wetu watupongeze, kwa kuchukua kombe na kuwapa kipigo cha mbwa mwizi.
 
Jamani JF tunaomba uzi wa heshima yetu ili watani wetu watupongeze, kwa kuchukua kombe na kuwapa kipigo cha mbwa mwizi.

Ndivyo mpira ulivyo unashangaa nn!!!! Kapigwa man u 6, arsenal 8 maisha yanaendelea alah!!!!?
 
Duuuuuuuuuuu hapo hakuna tena cha utani wa jadi tena
 
Ukileta virus wanatupia antivirus. YANGA wanasema mno hdi wananikera
 
Yebo yebo wana matatizo, wasingekuwa na matatizo hayo matano yasingepatikana!
 
Back
Top Bottom