Simba ni Simba tu

hivi wale watu wanafika mia mbili kweli? halafu ule uwanja mbona kama nyumbani kwa mtu?
 
Wakipost wamejipodoa si tuna post show
ae283df98786fbbb5f3d061ed3dda645.jpg
 
hivi wale watu wanafika mia mbili kweli? halafu ule uwanja mbona kama nyumbani kwa mtu?
Kwa mwaka huu mpaka sasa yawezekana mond ameshapiga show zaidi ya 20+. Nikumbushe za kiba ni ngapi huu mwaka??? Kumbuka dec. ni tour na neo.... kumbuka akitoka mayotte harudi bongo kwanza..... kiba akajiunge na zile band za wakongo atleast wao hupiga show kila jmos kwenye pub mtaani.
 
Dah Mond MAYOTTE wamemuelewa sana,full live band,kila siku anazidi kuimprove, usiku huu atakinukisha Kounguo stadium!,go Simba we ni mozart wa bongo fleva,wengine wote ni wanamziki tena wa kawaida mno!!!
Huyu simba wenu ana mkia?
 
Back
Top Bottom