Simba na Yanga zifutwe

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,552
Hizi timu ziko kiu shabiki tu na si ki-maendeleo,tupate timu zenye muelekeo wa mfano mzuri ni Tp Mazembe au kwa hapa tz Azam,bila ya hivyo tutasubiri sana...wataishia kuuza na kumaliza viwango wachezaji wetu
 
Ulitaka kujenga hoja moja nzuri lakini ukashindwa
 
Ni ujinga ule ule wa miaka yote kupiga kelele kuhusu simba na yanga kila siku. ni ujinga kweli kweli. so zikifutwa ndo inakuaje? unatumia akili kweli wewe? unafahama kuwasimba na yanga zisipokuwepo na soka la tanzania ndo linakosa msisimko? au huelewe hata ukinenda hispania kuna barcelona na real madrid? usiongeee kama umetoka kunywa pombe halafu asubuh ukashushia na bhangi. baada ya kuwaza sana umeona hilo ndo suluhisho? ok zifutwe kwa vigezo vipi? haya ndo matatizo ya kutumia viloba na bhangi. badala ya kusema nini kifanyike kuboresha wewe unasema zifutwe. ungekuwa daktari wewe angekuja mtu ana kidonda mkononi ungesema mkono wa huyo mtu ukatwe tu.
una stress za maisha then unadhan kufutwa simba na yanga itakupunguzia stress au i ule umbumbu wa watanzania wengi wanadhan wachaw wao ni simba na yanga. azam is there now kama superpower team imefanya nini sana kimataifa? maana mnapoizungumzia azam hebu sasa semeni pia kimataifa imefikia hatua flan...otherwise ni hadith za kitoto za kila siku kuhusu simba na yanga na tumezichoka kwa kweli.
kushindwa kwenu kwa maisha hakutokani na simba na yanga kama mpira wa miguu unakupa shida kuna michezo mingine ming kama bao,karata, mbio za mitumbwi n.k
 
Hizi timu ziko kiu shabiki tu na si ki-maendeleo,tupate timu zenye muelekeo wa mfano mzuri ni Tp Mazembe au kwa hapa tz Azam,bila ya hivyo tutasubiri sana...wataishia kuuza na kumaliza viwango wachezaji wetu
Hao Azam wamefanya nini cha maana hadi leo ?
Kiutendaji hakuna tofauti kati ya Azam na Simba/Yanga
 
Hizi timu ziko kiu shabiki tu na si ki-maendeleo,tupate timu zenye muelekeo wa mfano mzuri ni Tp Mazembe au kwa hapa tz Azam,bila ya hivyo tutasubiri sana...wataishia kuuza na kumaliza viwango wachezaji wetu
Hizi timu ziko kiu shabiki tu na si ki-maendeleo,tupate timu zenye muelekeo wa mfano mzuri ni Tp Mazembe au kwa hapa tz Azam,bila ya hivyo tutasubiri sana...wataishia kuuza na kumaliza viwango wachezaji wetu
Hizi timu ziko kiu shabiki tu na si ki-maendeleo,tupate timu zenye muelekeo wa mfano mzuri ni Tp Mazembe au kwa hapa tz Azam,bila ya hivyo tutasubiri sana...wataishia kuuza na kumaliza viwango wachezaji wetu
Wewe umevurugwa! Tuachie Simba na Yanga zetu bhana, zikifutwa, inakuwaje? Hao Azam wana lipi jipya? Tumechoka kusikia shutuma kwa Yanga na Simba. Zitaendelea kuwepo, kama huzitaki, kajinyonge mambo yaishe!
 
Mimi wamenifurahisha kususia fainali ya kombe la Mapinduzi, kwa sababu halina tija hasa kipindi hiki cha kisiasa.
 
Ni ujinga ule ule wa miaka yote kupiga kelele kuhusu simba na yanga kila siku. ni ujinga kweli kweli. so zikifutwa ndo inakuaje? unatumia akili kweli wewe? unafahama kuwasimba na yanga zisipokuwepo na soka la tanzania ndo linakosa msisimko? au huelewe hata ukinenda hispania kuna barcelona na real madrid? usiongeee kama umetoka kunywa pombe halafu asubuh ukashushia na bhangi. baada ya kuwaza sana umeona hilo ndo suluhisho? ok zifutwe kwa vigezo vipi? haya ndo matatizo ya kutumia viloba na bhangi. badala ya kusema nini kifanyike kuboresha wewe unasema zifutwe. ungekuwa daktari wewe angekuja mtu ana kidonda mkononi ungesema mkono wa huyo mtu ukatwe tu.
una stress za maisha then unadhan kufutwa simba na yanga itakupunguzia stress au i ule umbumbu wa watanzania wengi wanadhan wachaw wao ni simba na yanga. azam is there now kama superpower team imefanya nini sana kimataifa? maana mnapoizungumzia azam hebu sasa semeni pia kimataifa imefikia hatua flan...otherwise ni hadith za kitoto za kila siku kuhusu simba na yanga na tumezichoka kwa kweli.
kushindwa kwenu kwa maisha hakutokani na simba na yanga kama mpira wa miguu unakupa shida kuna michezo mingine ming kama bao,karata, mbio za mitumbwi n.k
Yanga ipo tangu 1936 Simba ipo tangu 1934....wewe bado unaona sawa tu kwa sababu unaona kawaida tu...simba hata uwanja wa mazoezi hawana!..azam ndio hajafika mbali kimataifa lakini walau anaonyesha mwanzo mzuri...ana kiwanja/tv na anajaribu kuendana na standard level..
 
kwa hiyo zifutwe tu...kwani ni timu za mama yako? zinakukera nini zikikosa viwanja....huo uwanja wa azam FC ni wa mtu mmoja au ni mapato ya timu wakajenga uwanja....
 
Solution siyo kuzifuta bali serikali ya Magufuli kupitia Nape watumie mabavu kuvilazimisha hivi vilabu kujibadilisha kuwa kampuni, ifike wakati hivi vilabu viendeshwe kitaalamu.Wanaoviharibu hivivivilabu na hawa wanachama wavaa vibagharashia wa Kariakoo,Mara waendeshe mapinduzi dhidi ya viongozi,Mara wazuwie vilabu kujiendesha kikampuni...si mnakumbuka vile vita vya YANGA kampuni na YANGA asili?Mpondela 'Castro' na mwenzie Abbas Tarimba hawatawasahau akina Yusuf Mzimba,Ibrahim Akilimali,nk.
 
Simba na Yanga ni mpango wa Mungu... Ni matimizo ya unabii wa muda mrefu, huwezi kuuzuia hata ufanyaje!
 
Back
Top Bottom