Simba na Yanga wote wadaiwa Mamilioni

Makoye Matale

JF-Expert Member
May 2, 2011
6,491
2,104
Siyo siri kwamba Yanga imeshitakiwa FIFA ikidaiwa takribani TZS 36m/= kwa mchanganuo wa Njoroge 17m/= na Papic 19m/=. Vile vile Yanga inadaiwa na Simba 50m/= za Mbuyu Twite.

Kwa upande wa Simba, Basena kashitaki CAF akidai 112.3m/= (Source: Gazeti la Mwananchi, Jumanne Oktoba 2012, uk. 24).

Viongozi lipeni madeni, mashabiki acheni kuchekana.
 
siyo siri kwamba yanga imeshitakiwa fifa ikidaiwa takribani tzs 36m/= kwa mchanganuo wa njoroge 17m/= na papic 19m/=. Vile vile yanga inadaiwa na simba 50m/= za mbuyu twite.

Kwa upande wa simba, basena kashitaki caf akidai 112.3m/= (source: Gazeti la mwananchi, jumanne oktoba 2012, uk. 24).

Viongozi lipeni madeni, mashabiki acheni kuchekana.
wewe bwana umenena sawa ,hebu jamaani lipeni madeni acheni fitina baina yenu.mcheze mechi mbili za kirafiki hizo hela zilipe madeni yote.
 
wewe bwana umenena sawa ,hebu jamaani lipeni madeni acheni fitina baina yenu.mcheze mechi mbili za kirafiki hizo hela zilipe madeni yote.

sidhani kirahisi hivyo na wale wachina na waokota chupa pale graundi utawalipa na nini..
 
Back
Top Bottom