S Smart codetz Senior Member Jan 25, 2023 191 753 Jan 28, 2023 #1 UCHAGUZI WETU KESHO. Ila sisi tuna kitambulisho cha shule ya msingi wenzetu wana kadi ya uanachamaš³; Hivi kuna Transformation hapa? Hebu tuwe serious kwenye hizi taasisi zinazogusa Faraha za watu. Ukiwaona majukwaani Kama viongozi vile kumbe ni hopeless kabisa! Mpaka leo bado usafiri wetu ni Coaster wachezaji wanalazimika kujikunja miguu wakati wa safari sababu siti ni fupi dah! Hii aibu kubwa sana
UCHAGUZI WETU KESHO. Ila sisi tuna kitambulisho cha shule ya msingi wenzetu wana kadi ya uanachamaš³; Hivi kuna Transformation hapa? Hebu tuwe serious kwenye hizi taasisi zinazogusa Faraha za watu. Ukiwaona majukwaani Kama viongozi vile kumbe ni hopeless kabisa! Mpaka leo bado usafiri wetu ni Coaster wachezaji wanalazimika kujikunja miguu wakati wa safari sababu siti ni fupi dah! Hii aibu kubwa sana
Dr Matola PhD JF-Expert Member Oct 18, 2010 57,605 96,617 Jan 28, 2023 #2 Simba ni genge la wahuni, kabla hamjapiga kura viongozi wawaoneshe bank statement ya Billion 20 alizolipa Mo Dewji.
Simba ni genge la wahuni, kabla hamjapiga kura viongozi wawaoneshe bank statement ya Billion 20 alizolipa Mo Dewji.
Herbert Nkuluzi JF-Expert Member Aug 10, 2015 2,453 2,467 Jan 28, 2023 #3 Kwani kitambulisho ndiyo transformation? Punguza stress na basi hujaliona?
Prince Kunta JF-Expert Member Mar 27, 2014 22,785 28,832 Jan 29, 2023 #4 Sisi makolo hatuna akili kwq ufupi ni mambumbumbu
K kinje ketile JF-Expert Member Dec 12, 2015 4,396 8,409 Jan 29, 2023 #5 Pole Sana... Utopolo..! Mnaumia kiasi Kikubwa Na Simba..! Ibenge huko Mkutanoni anaisifia Simba Kuwemo kwenye Super League CAF...! Mnayo haki Kuumia..! Hata mie ningekuwa Utopolo ningeumia Sana!
Pole Sana... Utopolo..! Mnaumia kiasi Kikubwa Na Simba..! Ibenge huko Mkutanoni anaisifia Simba Kuwemo kwenye Super League CAF...! Mnayo haki Kuumia..! Hata mie ningekuwa Utopolo ningeumia Sana!