Simba na Mtibwa wanahoma zinazofanana!!

Sadiki Abdallah

JF-Expert Member
Jul 13, 2016
885
579
Hizi timu zina kawaida ya kuanza ligi kwa ushindi mfululizo ,lakini ligi ikifika kalibu mwisho pumzi zinakata tatizo sijui linakuwa nini!!??

Hasa hawapa

FB_IMG_1520486393217.jpg
 
Bora simba..ila homa ya mtibwa kali mno safari hii...timu iliyoanza kwa kuongoza ligi sa hivi kapitwa na prison na anafukuziwa kupitwa na lipuli
 
Dalili zote za simba kukosa ubingwa zinaonekana, bado point tatu... Katika point tatu hizo. Anacheza na yanga, pia atacheza na mtibwa akiwa na presha juu hasa yanga akishida, na vipi waarabu wakimtandika, si ndo atapagawa zaidi, ni timu isiyoijua simba tuu ndo itapata tabu kuifunga,lakini wakubwa wanajua unajaza watu golini kisha unashambulia kwa kasi...hawatofunga wala kupiga mashuti.... Zaidi watamiliki mpira ila utafika golini kwao kwa kasi zaidi, na hasa ukiwa na forward zenye spidi kali...
 
Pia sijaiona simba ikibadilika kutokana na mechi... Muundo na uchezaji ni uleule.... Tofauti na yanga yaani mechi ikiwa ndogo nae presha anaishusha anashinda taratiib km alivopigwa kagera,tena na asicheze nabmpira kabisa, lakini mechi kubwa anacharuka mpaka unashangaa, na hapo ndo utajua kuwa lwandamina anajua mahesabu ya mpira na kwa staili wachezaji hawachoki na wanakua fiti kimwili na kiakili kwa ajili ya kila mechi....... Tofauti na simba ambayo yenyewe ipo km genge la wahuni kila mechi fujo, utashind magoli mengi lakini pumzi itakata na ubingwa unakosa......
 
Tumeona mechi kubwa na Mbao FC, Yanga walipiga mpira wa kufa mtu na ni kweli simba hawabadiliki ndio maana michezo yao yote hutumia mfumo wa 3-5-2 hawabadiliki hii toka msimu umeanza
 
Dalili zote za simba kukosa ubingwa zinaonekana, bado point tatu... Katika point tatu hizo. Anacheza na yanga, pia atacheza na mtibwa akiwa na presha juu hasa yanga akishida, na vipi waarabu wakimtandika, si ndo atapagawa zaidi, ni timu isiyoijua simba tuu ndo itapata tabu kuifunga,lakini wakubwa wanajua unajaza watu golini kisha unashambulia kwa kasi...hawatofunga wala kupiga mashuti.... Zaidi watamiliki mpira ila utafika golini kwao kwa kasi zaidi, na hasa ukiwa na forward zenye spidi kali...
Wakikosa ubingwa safari hii maandamano ya nchi nzima yanawahusu.
 
Yanga kama kawaida watajichukulia kombe kiulainiiii kama wananawa hahaaa Simba bwanaaa pole yao
 
Tumeona mechi kubwa na Mbao FC, Yanga walipiga mpira wa kufa mtu na ni kweli simba hawabadiliki ndio maana michezo yao yote hutumia mfumo wa 3-5-2 hawabadiliki hii toka msimu umeanza
Ndugu nimesema anabadilika kutokana na mechi au anashinda kila mechi??!! Na pia game ya mbao kwa yanga sio ngumu? Enhe nitajie na game nyingine
 
Hizi timu zina kawaida ya kuanza ligi kwa ushindi mfululizo ,lakini ligi ikifika kalibu mwisho pumzi zinakata tatizo sijui linakuwa nini!!??

Watanzania wengi tuna tatizo la kugeneralize mambo ambayo yametokea mara chache. Simba kuwa mbele kwa points mwaka jana, na mwaka huu kuanza kupungua kwa gap, tayari mtu anakuja na matokeo ya utafiti!

Kwa mwaka huu, ni mapema sana kusema Simba imekutwa na timu iliyokuwa nyuma! Yanga katika mzunguko wa pili wameanza na mechi nyepesi sana, kama naongea uongo hebu angalia mechi ambazo Yanga atakuja kucheza baada ya hii ya leo ya Stand United. Simba ameshamalizana na Azam, Yanga bado, je, hatadondosha point? Bado hajawafuata Mbeya City, Prisons, Mtibwa, Mwadui. Bado hajacheza nyumbani na Simba, Singida na Mbao! Hivi mnadhani Yanga hatadondosha huko kote? Subiri tuone
 
Kwa sasa hivi Yanga inabidi ijizatiti kwenye mashindano ya Azam Federetion Cup ili ipate nafasi ya kuiwakilisha nchi kimataifa mwakani. Kuhusu ubingwa wa Bara, kwa kiwango cha Yanga hiki tunachokiona katika mechi rahisi, haitaziweza mechi kubwa zilizobaki na itapoteza mbili hadi tatu. Hata nafasi ya pili Yanga haitaigusa, maana Azam ipo juu kwa kiwango kuliko Yanga na kwa kuangalia mechi zilizobaki
 
Back
Top Bottom