Mwakamele 16
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,493
- 1,114
Ubingwa wa Yanga mwaka jana mkumbuke ulikuwa ni wa tofauti ya magoli tu na simba sio points
Malinzi kwani kaachiwa huru??Simba Isipo Chukua Ubingwa Msimu Huu Pale Msimbazi Patakuwa Hapatoshi Nawaambieni