Sadiki Abdallah
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 885
- 579
Hizi timu zina kawaida ya kuanza ligi kwa ushindi mfululizo ,lakini ligi ikifika kalibu mwisho pumzi zinakata tatizo sijui linakuwa nini!!??
Hasa hawapa
Hasa hawapa
Sasa wanachukuaje mkuu? Kwani yanga haipo?Simba Isipo Chukua Ubingwa Msimu Huu Pale Msimbazi Patakuwa Hapatoshi Nawaambieni
Tumeona mechi kubwa na Mbao FC, Yanga walipiga mpira wa kufa mtu na ni kweli simba hawabadiliki ndio maana michezo yao yote hutumia mfumo wa 3-5-2 hawabadiliki hii toka msimu umeanzaPia sijaiona simba ikibadilika kutokana na mechi... Muundo na uchezaji ni uleule.... Tofauti na yanga yaani mechi ikiwa ndogo nae presha anaishusha anashinda taratiib km alivopigwa kagera,tena na asicheze nabmpira kabisa, lakini mechi kubwa anacharuka mpaka unashangaa, na hapo ndo utajua kuwa lwandamina anajua mahesabu ya mpira na kwa staili wachezaji hawachoki na wanakua fiti kimwili na kiakili kwa ajili ya kila mechi....... Tofauti na simba ambayo yenyewe ipo km genge la wahuni kila mechi fujo, utashind magoli mengi lakini pumzi itakata na ubingwa unakosa......
Ndani ya uongozi wa simba kuna kiongozi ndakindaki wa yanga haji analijua hilo.Simba Isipo Chukua Ubingwa Msimu Huu Pale Msimbazi Patakuwa Hapatoshi Nawaambieni
Wakikosa ubingwa safari hii maandamano ya nchi nzima yanawahusu.Dalili zote za simba kukosa ubingwa zinaonekana, bado point tatu... Katika point tatu hizo. Anacheza na yanga, pia atacheza na mtibwa akiwa na presha juu hasa yanga akishida, na vipi waarabu wakimtandika, si ndo atapagawa zaidi, ni timu isiyoijua simba tuu ndo itapata tabu kuifunga,lakini wakubwa wanajua unajaza watu golini kisha unashambulia kwa kasi...hawatofunga wala kupiga mashuti.... Zaidi watamiliki mpira ila utafika golini kwao kwa kasi zaidi, na hasa ukiwa na forward zenye spidi kali...
wasipo chukua maeneo ya msimbazi hapatoshiSimba Isipo Chukua Ubingwa Msimu Huu Pale Msimbazi Patakuwa Hapatoshi Nawaambieni
Ndugu nimesema anabadilika kutokana na mechi au anashinda kila mechi??!! Na pia game ya mbao kwa yanga sio ngumu? Enhe nitajie na game nyingineTumeona mechi kubwa na Mbao FC, Yanga walipiga mpira wa kufa mtu na ni kweli simba hawabadiliki ndio maana michezo yao yote hutumia mfumo wa 3-5-2 hawabadiliki hii toka msimu umeanza
mataira fcWakikosa ubingwa safari hii maandamano ya nchi nzima yanawahusu.
Hizi timu zina kawaida ya kuanza ligi kwa ushindi mfululizo ,lakini ligi ikifika kalibu mwisho pumzi zinakata tatizo sijui linakuwa nini!!??
patatoshga tu mkuu wala usiwazeSimba Isipo Chukua Ubingwa Msimu Huu Pale Msimbazi Patakuwa Hapatoshi Nawaambieni