Haaaa haaa. sisi hatusubiri wa mchangani, tunasubiri jumamosi kuwacheki wa kimataifa. karibu Taifa jumamosi uone soka. Yanga daima mbele.... nyuma mwikoMuda huwa unasema vizuri bora usubiri uone
Kiporo cha kombe la shirikisho????nacho hicho ni kiporo bora kichache, mikia wa kupigwa tu.
ya, kombe la shirikisho. wao tu hawajacheza, timu zingini zishacheza mechi zao za robo fainaliKiporo cha kombe la shirikisho????