Simba mkisajili pelekeni kwa Mwamposa ama Kuhan Mussa wachezaji wenu wakaombewe

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
51,772
23,211
Hii niko serious, mwota ndoto hafi mpaka itimie.

Viongozi wa simba pelekeni wachezaji wenu wakaombewe.

Chukueni serious maneno ya Benchika, hawa wamechukuliwa ufahamu wagumu kuelewa.

Ukiona mtu kama benchika kasema haya alipigwa kitu kizito kama cha diamond kwa sara.

Msidharau nimewapa na watumishi wa mungu ninaowamini.

Wakiombewa mnakuwa na uhakika na nafasi ya pili msidharau.
 
nikoohapaaaa manungu nawasubiria yanga wakichukua kombe ama glass
 
Attachments

  • 1715581987299.jpg
    1715581987299.jpg
    380.4 KB · Views: 2
Hii niko serious, mwota ndoto hafi mpaka itimie.

Viongozi wa simba pelekeni wachezaji wenu wakaombewe.

Chukueni serious maneno ya Benchika, hawa wamechukuliwa ufahamu wagumu kuelewa.

Ukiona mtu kama benchika kasema haya alipigwa kitu kizito kama cha diamond kwa sara.

Msidharau nimewapa na watumishi wa mungu ninaowamini.

Wakiombewa mnakuwa na uhakika na nafasi ya pili msidharau.
Mwamposa ni takataka kama zingine.
 
Yaani aseme Uto mwenzako halafu uwaambie Simba kwamba "tuliwaambia mpaka mseme"? Au Hujui Pdidy yuko upande gani?
Nimejibia chini ya meseji ya OKW BOBAN SUNZU ambaye ni mnyama kindakindaki! Sema sikufanya ku-quote meseji yake! Amesema Simba viongozi na wachezaji ni takataka!!😁😁😄😄
 
Back
Top Bottom