Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,745
- 3,729
Mchambuzi uchwara katika ubora wako wa uchwara!
Hii mechi ingechezwa mafichoni mngedanganya watu bahati nzuri mchezo wa soka unachezwa adharani, aya na wewe leta uchambuzi wako ambao ni mzuri tuuoneMchambuzi uchwara katika ubora wako wa uchwara!
Nilikuwa nasubilia kwa hamu Sana nione timu inayosemwa iko vizuri msimu huu maana yanga ilipofungwa na zanaco kuna wajinga fulani fulani humu waliibuka na kuanza kutoa kila aina ya kejeli na maneno ya udaku, sasa tumewaona live hakika mtamkumbuka chama na mikson, mapengo yao yameonekana dhahiri shairi, mnabaki kumtegemea Morrison akibanwa ndo ivyo kwaheri mwalimu, tunaangalia vitu kiufundi zaidi Kama tp mazembe wangekuwa makini leo kwenye safu ya ushambuliaji wangeondoka na goli 4, shukrani kwa manura, amekuwa bora Leo vinginevyo mngepata aibu ya mwaka, Atutaki porojo za kusema eti kocha alikuwa anaangalia kikosi kwakuwa hoja hiyo ilikataliwa kwa yanga ivyo basi mnayo kazi ya ziada na nyie kuitengeneza timu la sivyo mkishupaza shingo na kujiona bado mnao ubora ule ule mtakipata cha moto,,,Kwanza nendeni kwenye takwimu za mechi za kirafiki karibu zote safu yenu ya ulinzi imeruusu magoli ata mlizoshinda pia magoli mliruusu sasa iyo ni alarm inatakiwa mshtuke vinginevyo tutakuja na utetezi mwingine apa siku sio nyingi,
Mnawacheka yanga lakini na nyie ugonjwa ni ule ule
Kama mlivyovurugwa na vumbi la kongo, kelele nyingi but timu ndo iyo mliyonayo,pesa mlizomuuza chama na mikson zitawatokea kwenye tundu lolote lile lililowazi, Mda utaongeaUtopolo naona umevurugwa haswa.
Wataishia tu kupigwa nyumbani na ugenini! Na kwa bahati mbaya aliyekuwa akiwajaza upepo, kwa sasa hayupo! Sijui watapambana vipi.Hawa simba nawaomba waingie makundi na hiki kikosi chao
Hongera mtani kwa ushindi huko nigeria timu iko vizuri chini ya kiungo haji manaraWataishia tu kupigwa nyumbani na ugenini! Na kwa bahati mbaya aliyekuwa akiwajaza upepo, kwa sasa hayupo! Sijui watapambana vipi.
Kwisha habari yenu Bado Tareh 259/2021Mchambuzi uchwara katika ubora wako wa uchwara!
Vumbi la Kongo hatariNchi hii hakuna mashabiki wenye maneno mengi kama UMBWA ZA LUC EYMAEL (hasa muda wa usajili) THE RETURN OF CHIMPANZEE
Simba hoyeeeHongera mtani kwa ushindi huko nigeria timu iko vizuri chini ya kiungo haji manara
Tareh 25/9/2021.Tunakuzika kabisa Nyama poriManeno ya mkosaji hayo.
Return of champion imeishia Nigeria,hamasa za Manara zimeshindwa kuleta ahueni kwa Yanga kwasababu ya timu lenu bovu.
Huko mafichoni wakicheza inakuwa siyo soka??Ende
Hii mechi ingechezwa mafichoni mngedanganya watu bahati nzuri mchezo wa soka unachezwa adharani, aya na wewe leta uchambuzi wako ambao ni mzuri tuuone