Simba kama tuna 20b, tunashindwa kujenga uwanja?

Umeandika ukweli kamilifu
Maskini mara nyingi wana roho mbaya sana
 
Rage aliifanyia nini simba? Au ndo walewale ambao wanapata akili wakishakuwa nje ya madaraka?

Kwa nini Rage hakujenga uwanja katika uongozi wake kama alikuwa na akili unazomsifia anazo?

Subiri uwanja ujengwe usipojengwa njoo utoe maoni hasi kama kawaida
 
Yaani kwa akili zako timamu Mo dewji ana 49% ameweka Billion 20,halafu unauliza 51% wameweka nini?

Nenda kajifunze jinsi uwekezaji ulivyo ndani ya vilabu ambavyo wanachama wana asilimia kubwa ya umiliki.Mfano Madrid na Barcelona

Eti hakuna faida anayoiona Mo dewji moja kwa moja pale simba.......Bro hivi hujawahi kufikiri matangazo matano yaliyopo kwenye jezi za simba ndani ya miaka mitano hii.........amesave pesa kiasi for advertisment?

Real investment ya Billion 20 pale Simba wala tusingewagusa hata kidogo coz lengo la kuingia kwenye mabadiliko ya uendeshaji wa hizi timu ni ili kufanana na timu za duniani zinavyojiendesha

Naamini wanasimba mtakuja kuelewa hili siku moja masikio yenu yakipona na macho yakitoka tongotongo

Lengo sio kutafuta matokeo for temporary happiness ya timu zetu ila lengo ni kutengeneza uchumi mzuri wa kujitegemea Wa timu ili hata Mo dewji Leo hii akifariki timu haiwezi kutetereka
 
Ww unataka nn toka kwa Mo kwa sasa akifanya utalizika?
 
Usisahau kama mashabiki ni hawa boda boda wauza miwa,wauza chipsi, ndio wengi.mtu atoe buku 30. Kuchangia timu anawazimu.labda buku la nani zaidi

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Ukija kuquote upumbavu kwenye comment yangu na mm nakuqoute same upumbavu

Dawa ya moto ni moto
 
Amenitusia mama yangu kwa mambo ya michezo tu(furaha na utani). Ni vile sikujua silka yake before nisinge changia
Huyo mtoto bado matusi ndio hulka yake. Sema mm alinitukana nikampa yote matusi akakoma. Anautoto saana na ukimzidi hoja ndio analeta matusi tena matusi ya magumu yasiyo na ustaarabu. Anavuka kwenye ushabiki mpaka kuwa mjinga kabsa. Mpuuze tu. Vichaa ni wengi
 
Ndugu shukrani sana ila amenifanya niwe na stress nyingi sana
 
Ufukara ndo unaomsumbua, achaneni nae.
 
Mwekezaji aweke pesa bank na hiyo ndo inakuwa dhamana ya hiyo mikopo

Brand ya Simba ni dhamana tayari, thamani ya simba ni zaidi ya Bil 20 (51%) ko simba inakopesheka bila Mo kuweka pesa. Ni viongozi tuu kuamua kuanza mambo.
 
Mimi kuna jambo kama sielewi.

Kwamba Mo akishaweka hiyo 20b(kama haijawekwa kweli) na shughuli nyingine za kuendesha timu zinaendelea?.

Kama zinaendelea ni kwa akaunti ipi maana naona 20b itakuwa ni ya kazi maalum.

Na kwani gharama za kuendesha timu kwa mwaka zinakaribia kiasi gani, na kukishakuwa na hizo 20b zitatosha uendesha timu kwa muda gani?.

Na zikiwekwa nani atakuwa na mamlaka nazo kuzipangia matumizi,. ni kamati za kina Rage? zitanusurika kweli na sote twajua Waswahili tulivyo wadokozi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…