Simba ipo hoi japo imeshinda!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,902
95,407
Simba ipo hoi, ni baada ya kushiba mno baada ya kumla fulani!!

16864608_1597138200326206_7402411091547988990_n.jpg
 


Mi kila siku huwa nasema hawa mpira hawezi
mtu anaenda kucheza mpira dakika ya 4 wanapata penati wanafunga goli
Wanaenda kipindi cha pili Bukungu apigwa kadi watu wacheza 10 badaya 11
Bado wao washindwa sasa hawa yanga wataka nini.
 
Jumamosi simba sc walilitendea haki jina la mnyama simba,10 vs 11 when u are 1 nil down na bado unapata matokeo ktk game kubwa km ile inaonyesha jinsi gani mnyama ananjaa na ubingwa
 
Simba asipochukua ubingwa nitatembea uchi mchana kweupe kutoka Nyumbani kwa Makondo mpaka kanisani kwa Gwajima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom