Hivi ligi yao inaendelea na timu ya taifa lao jana imecheza??
Usimkosoe sana Mkuu Makoye Matale huyo katavi anatoka jamii ya mh. Mizingo Pinda,,,Mkuu uwe unasoma vizuri hata kama ni lugha ya mkoloni. Mechi iliyochezwa ni ya 'MULTICHOICE DISKI CHALLENGE GAME' ilichezwa Tuks Stadium mjini Tshwane mji ambao zamani enzi za Ukaburu ulijulikana kama PRETORIA hivyo haikuwa mechi ya ligi.
kama kithungu kinakupa shida omba msaadaAliyeleta habari hii kutaka tuamini kwamba mechi hiyo anayodai Orlando imecheza jana kwanini mwandishi asiandike played today aandike last Saturday.Pili aliyeposti habari hii aliposti saa nane na dakika 27 mchana.Je mechi ilianza saa 5 asubuhi ?Tuache kurukia kutoa conclusions bila lugs nya u tagit.
Utaendelea kushangaa sana! Halafu unajiita mwanamichezo wakati hata kuingia kwenye mitandao maarufu ya michezo huwezi kuingia kutafuta habari, unaishia kuchukua post za facebook!Wana jamii forum, nikiwa kama mwanamichezo nashangazwa kuona report kwamba Simba imecheza na Orando Pirates ya Africa Kusini.
Orlando Pirates assistant coach Eric Tinkler says his team will be engaging in a couple of friendly matches during the international break just to keep the Bucs players sharp.
"Coach VV (Vladimir Vermezovic) and the rest of us in the Technical Team feel that the friendly matches will do the trick for us. Its very important to keep the players match sharp during breaks like these," Tinkler told the official Bucs website.
The former Bafana Bafana midfielder also revealed that more first team players could also feature in the club's reserve team, in the Multichoice Diski Challenge against Mpumalanga Black Aces on Saturday afternoon.
"Theres a possibility, but on Saturday the First Team will be engaged in a friendly match against a Tanzanian Team at the Orlando Stadium. Realistically not all players will get an opportunity to play," he said.
"But the Diski Challenge as well as another friendly scheduled against Royal Eagles on Tuesday will offer us an opportunity to give as many of our players some game-time," he added.
Meanwhile, 44-year-old trainer Tinkler has given the Bucs squad a clean bill of health, with experienced defenders Siyabonga Sangweni, and Lucky Lekgwathi having returned to full training this week.
"Theres nothing really, we have an injury free squad, the whole team is healthy. Lucky Lekgwathi was out for a week with a bout of flu but he resumed training this past Monday," he said.
"Siya (Sangweni) had a pink eye infection, he was out for four days and he resumed training yesterday," he concluded.
Source:Orlando Pirates to play Tanzanian team in friendly - Goal.com
Utaendelea kushangaa sana! Halafu unajiita mwanamichezo wakati hata kuingia kwenye mitandao maarufu ya michezo huwezi kuingia kutafuta habari, unaishia kuchukua post za facebook!
Kweli lugha ya kiingereza ni ngumu sana.Aliyeleta habari hii atuambie kwani ni
Tatizo lipo wapi hapo?, Hebu fanya utafiti then njoo na report inayoonesha kwamba Orando Pirates hawajacheza na Black Ace siku ambayo Simba walidai kucheza mechi nayo.
Simba inapodanganya WatanzaniaHivi wahusika hawajui kama dunia ni kama kijiji?, nn malengo ya kuwanganga wapenzi wao juu ya hili?
Nimepitia website ya Orlando Pirates sijaona hata sehemu moja waliyoandika kuhusu mechi ya kirafiki baina yao na Simba zaidi ya hiyo Multichoice Disc Challenge...
Pita hapa Orlando Pirates uone....
Mkuu, si kila wakati kwamba habari isipotokea katika website ya timu husika maana yake ni kwamba hilo jambo halijatokea. Mfano mzuri ni Yanga ilipofungwa 3-1 na Simba katika mchezo wa Mtani Jembe. Pamoja na kwamba website ya Yanga kabla ya mechi iliandika kwa mbwembwe maandalizi ya mechi hiyo, habari kuhusu mechi hiyo ilivyofanyika haikuandikwa kabisa, badala yake ilikuja kuandikwa ya YM kuomba msamaha na kumfukuza kocha Brandts. Sasa kwa mantiki yako, kwa kuwa habari ya mechi yenyewe haikuandikwa, unataka kusema mechi haikufanyika?Na hata kwenye website ya Bidvest Wits (Wits University FC) hakuna habari yoyote inayozungumzia mechi yao na Simba....
Pita hapa Bidvest Wits ujionee....
Usilinganishe tovuti za Simba na Yanga na za Klabu za EPL na PSL...Kwa PSL kila mechi rasmi zinaingizwa kwenye website... Hata za academy na under ages...Angalia tovuti za vilabu vyote vya PSL utaliona chili..Angalia tovuti ya Pirates, Kaizer Chiefs, Sundowns nk...Vivyo hivyo hata EPL..Mkuu, si kila wakati kwamba habari isipotokea katika website ya timu husika maana yake ni kwamba hilo jambo halijatokea. Mfano mzuri ni Yanga ilipofungwa 3-1 na Simba katika mchezo wa Mtani Jembe. Pamoja na kwamba website ya Yanga kabla ya mechi iliandika kwa mbwembwe maandalizi ya mechi hiyo, habari kuhusu mechi hiyo ilivyofanyika haikuandikwa kabisa, badala yake ilikuja kuandikwa ya YM kuomba msamaha na kumfukuza kocha Brandts. Sasa kwa mantiki yako, kwa kuwa habari ya mechi yenyewe haikuandikwa, unataka kusema mechi haikufanyika?
![]()
Sina haja ya kufanya utafiti kuona kama Orando Pirates wamecheza au hawajacheza na Black Ace siku hiyo hiyo. Utafiti siku zote hufanyika kwenye eneo lenye tatizo, na nimekwishaufanya kwenye eneo lenye tatizo, na tatizo langu kwako ni kauli hizi ulizotoa kwa mbembwe ukidhani wewe ni mjanja kumbe hakuna kitu, kusema kwamba Simba imedanganya. Kauli hizo ni hizi, na urudi kutolea ufafanuzi kwamba Simba ilidanganya kitu gani:
Huamini nini wakati kocha wao aliwaambia waandishi kwamba watakuwa na mechi mbili on Saturday? Mbona nimekuwekea link ya hiyo habari na bado huamini? Mbona mtandao wa goal.com ni maarufu sana kwa wanamichezo, hata vipindi vya redio zetu huwa vinatafsiri habari kutoka hapo? Halafu mbona hata kiingereza kilichotumika kwenye habari hiyo ni chepesi tu? Narudia kukuwekea kipande cha habari hiyo, halafu na link ya huko nilikoitoa:Sasa mkuu, Pirates walicheza mechi 2 ndani ya siku moja?...
Source: Orlando Pirates to play Tanzanian team in friendly - Goal.com...
The former Bafana Bafana midfielder also revealed that more first team players could also feature in the club's reserve team, in the Multichoice Diski Challenge against Mpumalanga Black Aces on Saturday afternoon.
"There's a possibility, but on Saturday the First Team will be engaged in a friendly match against a Tanzanian Team at the Orlando Stadium. Realistically not all players will get an opportunity to play," he said.
...
Huamini nini wakati kocha wao aliwaambia waandishi kwamba watakuwa na mechi mbili on Saturday? Mbona nimekuwekea link ya hiyo habari na bado huamini? Mbona mtandao wa goal.com ni maarufu sana kwa wanamichezo, hata vipindi vya redio zetu huwa vinatafsiri habari kutoka hapo? Halafu mbona hata kiingereza kilichotumika kwenye habari hiyo ni chepesi tu? Narudia kukuwekea kipande cha habari hiyo, halafu na link ya huko nilikoitoa:
Source: Orlando Pirates to play Tanzanian team in friendly - Goal.com
Mkuu Masterkey, usione aibu kukiri kuwa thread yako uliianzisha bila kutafiti, na ni mapungufu ya kawaida tu. Ni kiasi cha kurudi hapa na kuwaomba radhi wanamichezo wa JF kuwa hukulitendea haki jukwaa