Simba imuomba msamaha Aishi Manula na mrudishe Golini.

Simba imuomba msamaha Aishi Manula na mrudishe Golini.

Zakayomfupi

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2024
Posts
1,040
Reaction score
1,000
Jana kilo kapigwa mbili bila ukitazama magoli yote kachomesha golikipa wao wanayemuona namba moja pon pon camera ambaye kiuwezo hamfikii hata robo Aishi Manula. Magoli yote yale huwezi kumfunga Manula. Wanachotaka kufanya Simba ni kumuomba msamaha Manula na kumrudishia namba moja kwenye first eleven.
 
Madalali wenzie mna mtetea Dalali MKUU.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom