Simba imetia aibu

Babaako andetumia condom, angetusaidia kupunguza mizigo kama ww
 
No reform no election.....wamuachie Lissu kwanza
 
Yanga ndio wametia aibu wameonesha kukosa weledi na kuvunja taratibu na Sheria za FIFA zinazikataza vilabu vya soka kujihusisha na siasa za vyama
 
Mna uelewa mdogo sana.Charity contribution inaweza vipi kusababisha ban? Serikali ya hao hao ccm kila siku inatoa pesa ,inajenga viwanja nk.mbona hawakatazwi?
Aisee! Hivi unaelewa maana ya Charity contribution?
Anyway, kati ya Yanga na CCM ni yupi hasa ana uhitaji wa kuchangiwa pesa katika uhalisia.
 
Makolo yanatia huruma, kufungwa mara 5 mfululizo na kutochukua kikombe chochote hata cha chai na Bado hawana hata 100/=
 
Nyie wehu mnaonitukana kaeni mkijua hii nchi ina wenyew sasa jifanyeni hamnazo pumbavu zenu simba wenyew washatoa leo ila wamesema wasitangazwe sie tunawachek tu na kelele zenu wehu nyie nchi itatawaliwa mtake msitake
 
Mna uelewa mdogo sana.Charity contribution inaweza vipi kusababisha ban? Serikali ya hao hao ccm kila siku inatoa pesa ,inajenga viwanja nk.mbona hawakatazwi?
Hiyo pesa wanayotoa ya kwao!? Na zile wanazoiba huko BoT unadhani watu wamesahau!?
 
Haijatia aibu aibu umetiq wewe simba sio mnafiki kama unavyozani Simba ni kama mtoto anayelelewa na mama wa kambo
 
Simba wanajielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…