AKILI ZAKO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 3,174
- 4,939
Ilikuwaje kwa viongozi wa simba wakumuuza Raly Bwalya na kumnunua Isamel Sawadogo?
Nimetafakari hili ila nimekosa nimekosa majibu. Naona kuna viongozi wanahujumu hii timu ikichangiwa na kelele za upande wa pili wakituaminisha wachezaji wetu ni wabovu/walevi/wazee.
Halafu tukiwauza/ au kuwaacha wanapitia mlango nyuma na kuwasajili mfano Augustine Okra
Kweli jamani