Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,854
- 32,657
KALABA: KAMA JWANENG GALAXY
WALIWEZA, KWANINI ISIWE POWER DYNAMOS?
.
"Kwenye mechi ya Simba dhidi ya Power Dynamos
yeyote ana nafasi ya kufuzu kwenye mpira wa Miguu lolote linaweza kutoka.Mechi ya kwanza ilikuwa kama Kipindi cha kwanza tu.
Kwahiyo wanatakiwa kujiamini na kujiandaa kiakili kwa sababu kucheza ugenini kwa mazingira ya Kiafrika sio rahisi"
Kwa kikosi hiki Cha mtumba Cha makolo ni ngumu kutoboa makundi coz kule hakuna referee wa kuwapa free penalty as a bonus
Kutokuwepo Kwa inonga itafanya ukuta wa Simba

kufikika kirahisi hivyo kufungwa
Uwepo wa kipa wa mchongo
.....kutaizamamisha Simba 
jitihada nyingi zifanyike na beki line
NB makolo ahsanteni Kwa kushiriki michuano ya club bingwa.
WALIWEZA, KWANINI ISIWE POWER DYNAMOS?.
"Kwenye mechi ya Simba dhidi ya Power Dynamos
yeyote ana nafasi ya kufuzu kwenye mpira wa Miguu lolote linaweza kutoka.Mechi ya kwanza ilikuwa kama Kipindi cha kwanza tu.Kwahiyo wanatakiwa kujiamini na kujiandaa kiakili kwa sababu kucheza ugenini kwa mazingira ya Kiafrika sio rahisi"
Kwa kikosi hiki Cha mtumba Cha makolo ni ngumu kutoboa makundi coz kule hakuna referee wa kuwapa free penalty as a bonus
Kutokuwepo Kwa inonga itafanya ukuta wa Simba


kufikika kirahisi hivyo kufungwaUwepo wa kipa wa mchongo
.....kutaizamamisha Simba 
jitihada nyingi zifanyike na beki lineNB makolo ahsanteni Kwa kushiriki michuano ya club bingwa.

