Simba huyu straika Msouth asipewe mkataba

Siyo huyoo Ryan,acheni haraka yule aliyepostiwa anaitwa Gerson Fraga ni beki, jaribu kuingia insta mtafute kwa jina hilo,au kamgoogle umuone!
Watu wengi humu hawaujui mpira hata ushabiki hawauwezi ila ni mashabiki maandazi!

Aliyepostiwa anaitwa Gerson Fraga Vieira katokea Atletico de Kolkata ya India ni mchezaji wa brazil na amecheza timu moja na kina Neymar mwaka 2009 katika timu ya vijana.

Academy iliyomlea ni ya Gremio
 
Sawa sawa Mkuu,nashukuru kwa ufafanuzi zaidi!
 
Wana simba tutulie. Tuwaache viongozi wafanye Kazi yao. Haya mambo ya utabiri tumuachie mrithi wa sheikh yahaya.
 
Viongozi wapo makini. Wanajua tunachotaka. Tusianze kuwavuruga. Tusiwe kama wale jamaa wa uswazi. Wanasajili wachezaji hata hawaeleweki. Huyo katoka kaizer chiefs sio timu ndogo.
Sawa, ila ndo lazima tu google tuone yaliyomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…