Simba hii ya mwaka 2025 ni Simba ya maajabu

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,246
Reaction score
7,112
Simba hii ya mwaka 2025 ni Simba ya maajqbu.

Imefanya mambo yaliyofanywa na baba zao miaka 32 iliyopita.

Kwangu Mimi Simba hii ni moja kati ya kikosi Bora kabisa Cha Simba,hii ni Kwa sababu ya namba zake.
Sikatai ubora wa vikosi vya Simba vilovyopita,lakini kikosi hiki ni Cha maajabu sana.

Hebu ona maajqbu ya Simba hii,ambayo baadhi ya wansimba na wapinzani wa Simba wanakibeza kikosi hiki Cha mwaka 2025.

Ni kikosi kipya kabisa, kina wachezaji wapya kwa karibu asilimia 85.

Ni kikosi kipya chenye kocha mpya na wasaidiIzi wake karobu wote ni wapya.

Ajabu nyingine ya Simba hii,ni kwamba kocho wake Fadlu Davis alikotoka hakua kocha Mkuu Bali alikua kocha msmaidizi, lakini ajabu ni kwamba ameweza kufanya maajabu makubwa.

Baadhi ya wachambuzi na wataalamu wa soka wanasema,mara nyingi timu zinapofanya mabadiliko kwa ajili yabkuboreshab vikosi kama ilivyofanya Simba, huchukua muda angalau wa miaka miwili au mitatu kuweza kutoa majibu tarajiwa.

Simba iliwaacha ama kuwauza wachezaji mahili na nguli waliokaa muda mrefu na kuzoeana sana na kuingiza wachezaji wengi wapya wasiojuana kabisa.

Lakini ajabu na kweli,Simba hii hii sio tu yenye wachezaji wengi wapya Bali yenye Kocha mpya na benchi lake karibu lote la ifundi ni jipya,lakini imeweza kufanya maajqbu yafutayo:

Iko nafasi ya pili katika ligi ya nyumbani ya NBC

Hebu jiulizeni haya, kama sio goli la kujiunga Kwa bahati mbaya la Dogo Chasambi,Tena wala hakua anaokoa,Leo hii Simba ingekua na point ngapi?

Kama goli alilojifunga Kelvin Kijiri,baada ya Musa Kamara kuurudisha mpira uliotoka nje Kwa bahati mbaya kwenye mechi ya Simba na Yanga na Kayoko angelikataa goli lile,Leo hii Simba ingekua na point ngapi?

Lakini ni Simba hiihii ndio Imeingia fainali Kobe la CAFCC

Ni Simba hiihii,mashabiki wa timu pinzani ya Simba wamekua wakiitabiria kufika mwisho wa safari katika CAFCC Kila inapopangiwa kukutana na timu za nje lakini imekua ikivuka.

Simba hii hii imezifinga ama kuzitoa timu zote ilizokutana nazo katika CAFCC 2025.
Imezitoa ama kuzifunga timu nne za Waarabu na mbili za waafrika.

Wapinzani wa Simba walitabiri Simba itatolewa na timu ya akina Mabululu.

Simba hiihii iliitoa
Al Ahly Tripoli
CS Faxien
Constantine
Al Masry
Bravos na
Stellenbosch.

Simba hiihii iliweza kuongoza kundi lao katika hatua ya robo fainali.

Simba hii hii tuliambiwa itatolewa na Al Ahly Tripoli, ikashinda.

Simba hii hii Truliambiwa itatolewa na CS Faxien,ikashinda.

Simba hii hii Truliambiwa itafungwa na Constantine,ikashinda.

Simba hii hii Truliambiwa itafungwa na Bravos ya Angola,ikashinda.

Simba hii hii Truliambiwa itatolewa na Al Masry ya Misri,ikashinda,

Simba hii hii tuliambiwa itatolewa na Stellenbosch ya South Afrika,ikafuzu.

Simba hii hii tuliambiwa ilikua haishindi au kupata goli nje ya Tanzania,lakini imeweza kizishinda CS Faxien, Constantine,Bravos na Stellenbosch.

Ni Simba hiihii Sasa inaambiwa kua itafungwa mabao mengi na RS Berkane katika fainali.

Lakini kitu Cha kujiuliza na ajabu ni kua,timu nyingine zikipiga hatua wanaona ni sawa,lakini Simba Kila wakipiga hatua,wenye chuki lazima watoe vitisho kua, hapo Simba ndio mwisho wake.
Lakini Simba hii hii imekua ikiwaumbua.

Simba hii hii imeweza kuipandisha Simba kua timu Bora Afrika 2025 kutoka ilikokua Hadi nafasi ya nne.

Simba hii hii imeweza kuishusha ligi ya Tunisia kwa ubora na Tanzania Nia kukaa kwenye nafasi ilipokua Tunisia nafasi ya Tatu.

Simba hiihii ya maajabu,Iko fainali,inasubiri kutwaa kombe.

Natambua kua RS Berkane ni timu yenye uzoefu na michuano hii,ni Tajiri kubwa,imara na Bora kabisa,lakini nawaambieni Simba hiihii,inaenda kutwa kombe mbele yao.
 
Nyie rukeni rukeni mkimaliza mje mtushike ndevu wananchi ikiwa ni heshima ya kuwapa njia ya kufika hatua za mbele kwenye Mashindano ya CAF
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
JamiiForums1683832807.jpeg
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26View attachment 3320075. Wekundu wa Msimbazi SC.
pale akili zikiwa zimefika mwisho kufikiri
 
Nyie rukeni rukeni mkimaliza mje mtushike ndevu wananchi ikiwa ni heshima ya kuwapa njia ya kufika hatua za mbele kwenye Mashindano ya CAF
Unakatwaaa?! 😂😂😂😂
 
Tunajenga kikosi, siku tukikamilika naomba tuhamishiwe ligi ya Morocco au South Africa. Kwa bongo itakuwa underutilization of resources
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26View attachment 3320075. Wekundu wa Msimbazi SC.
1000274937.jpg

Alisikika chura mmoja
 
Kwakweli ni Simba ya maajabu maana baada ya kukimbia Derby kilichofuata ni kupakwa Mafuta ya Upako.
 
Nasemajeee Utopolo watakufa mwkaa huu kwa viriba tumbo
Screenshot_20250430-091420_Instagram.jpg
 
Hilo kombe mwaka huu halina hata timu moja bora zoote ni loser tu kwenye ligi zao
Acha makasiriko mpira sio lazima ujitoe akili...nyie vyura si ndo mansema Berkane ni moto wa kuotea mbali au sio nyie..
Zamalek unamzidi nini wewe uliefurushwa hatua ya makundi...pyeee
 
Back
Top Bottom