Simba hii ya mwaka 2025 ni Simba ya maajabu

Simba hii ya mwaka 2025 ni Simba ya maajabu

Sisi ndiyo Simba SC AKA;
JamiiForums1683832807.jpeg

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;View attachment 3320332
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
We chura acha kupigia kelele wana fainalist.
Screenshot_20250429-121231_Chrome.jpg
 
Wekundu wa Msimbazi mbona hujaorodhesha vidume USM Alger, Africain, USA Rivers, Raja Casablanca waliokutandika hapo hapo kwa Mkapa ilihali sisi Mabingwa wako Yanga SC tuliwapasua wote hao?
Tumia akili na usitumie mahaba.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
1000274937.jpg

Chura wa jangwani
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;View attachment 3320332
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
1000274937.jpg
 
Subiri tukichukua ubingwa nakupa...
So piga maombi ya nguvu mr uto..
Kumbe una kipaji kingine cha uzecomedy? Ke aina yako huwa ni very smart na ndiyo ambao Babu zetu walikuwa wanapandikiza mbegu zao hata kama ulishawahiwa...🤗

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kumbe una kipaji kingine cha uzecomedy? Ke aina yako huwa ni very smart na ndiyo ambao Babu zetu walikuwa wanapandikiza mbegu zao hata kama ulishawahiwa...🤗

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
🤣 🤣 🤣 🤣 😊 😊
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;View attachment 3320332
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko (Lia lia) SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC
13. Zuwena SC.
14. Kufa kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
1000276295.jpg
 
Hizo team ilizotoa Sasa!
Simba hii itamaliza bila kikombe chochote msimu huu isipokuwa medali za cafcc Sasa sijui mzizungusha kwenye basi la wazi mama itakuaje
 
Kuna watu wanadhani stellenbosch ni wapinzani rahisi ...wapoi nafasi 4 legue shindani ya south africa.... sio kama wale wa MARUMO walioshuka daraja....

Ipeni heshima SIMBA YA FADLU
 
Back
Top Bottom