Simba FC VS JKT OLJORO

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,134
331
leo Arusha ni ufunguzi wa ligi ya Vodacom kati ya Simba na JKT Oljoro.

Okwi ameipatia Simba goli akiwa nje ya kumi na nane Simba 1

Okwi ameipatia Simba goli akiwa nje ya kumi na nane Simba 1

Tathmini yako kwa dakika hizi za mwanzo ikoje kuhusu Mechi hiyo?
-Uelekeo wa mashambulizi
-Makosa ya kizembe kwa pande zote
-Mpangilio wa mashambulizi nk.
-Timu yako itashinda kwa bao ngapi leo?

Tathmini yako kwa dakika hizi za mwanzo ikoje kuhusu Mechi hiyo?

-Uelekeo wa mashambulizi

-Makosa ya kizembe kwa pande zote

-Mpangilio wa mashambulizi nk.

-Timu yako itashinda kwa bao ngapi leo?

JKT ndio wanaomiliki mpira kuliko Simba na wanacheza kwa kuelewana sema Simba wanatumia uzoefu ktk hizi dakika za mwanzo

JKT ndio wanaomiliki mpira kuliko Simba na wanacheza kwa kuelewana sema Simba wanatumia uzoefu ktk hizi dakika za mwanzo

Poa, endelea kutujuza.

Goooooooo wanaokoa katikati ya mstari Simba wanakosa goli

kwenye msafara wa Simba na bendera za Chadema uku wakiimba Cmba, Chadema

Back
Top Bottom