Simba day

Simba day

Hao sc villa zamani ndio walikuwa jogoo, ss hv ni tetea tu, kesho tunawapiga week (7) hao.
 
Huyu Mombeki naona anatisha kama Oloya!, Maana kila mechi anatupia. Leo kapiga mawili hadi kibadeni kachukia, kaamua kumtoa kaingia Mesi.
 
Mnyama leo ametisha kama Babu Wenga. Simba 4 : 1 Villa, Arsenal 3-0 Manchester City.
 
haya sasa endeleeni kuchonga nyie wakazi wa mafurikoni jangwani, sie twapiga kazi

mpira umekwisha simba 4 villa 1, makoye matale, mandieta, nyenyere, baraka kizug-anselm, poo mkalale nacho
 
Hao sc villa zamani ndio walikuwa jogoo, ss hv ni tetea tu, kesho tunawapiga week (7) hao.

na iwapo mtawafunga na wewe utajisifu kuwa timu yako ni kali? watu wametoka kucheza leo, less than 24 hours wanacheza na wewe uliyepumzika 72 hours, ukishinda unajisifu? tumia akili kidogo bwana mdogo!!!!
 
Nimeongelea uwezo wa vila sasa hivi, sio majogoo wale tuliowazoea kipindi kile, ndio mana nimesema kesho tunashinda nyingi, hata wangepumzika miezi 6 kipigo kipo pale pale, so tumia vizuri hizo akili zako nyingi kaka mkubwa!!!
 
Wamekimbia tutawaona kesho chezea mnyama wee utabaki mifupa

Nimeangalia kiwango, Villa walikuwa hawakabi kabisa wala kushambulia. Nadhani Somali aliwapa dokezo ili wasiiharibu Sikh yao.
 
haya sasa endeleeni kuchonga nyie wakazi wa mafurikoni jangwani, sie twapiga kazi

mpira umekwisha simba 4 villa 1, makoye matale, mandieta, nyenyere, baraka kizug-anselm, poo mkalale nacho

Kwa kweli SC Villa wameniharibia weekend kabisa.
 
Nimeangalia kiwango, Villa walikuwa hawakabi kabisa wala kushambulia. Nadhani Somali aliwapa dokezo ili wasiiharibu Sikh yao.
ili umalizie siku yako ya leo umeona utupie hilo etieee.....Simba mtaipenda tu.
 
Back
Top Bottom