Simba day

Simba day

villa wamejitaidi kucheza vizur kipind cha kwanza, simba wamejitaid akiingia hamis tambwi , kize na sino mambo yatakuwa mazuri
 
Wale warundi hawajaja bado au wako benchi?

Warundi hawajaja kaka wakati wa utambulisho Kamwaga kasema. Ila wadau wa Yanga tulimlalamikia Kamwaga kwa kuacha kwa makusudi kumtambulisha Ngassa kama alivyoahidi Leo angekuwepi.
 
Kwa kikosi hicho cha Simba sidhani kama nitakosa furaha leo. Wakuu muwe fair tu kutuletea matokeo. Ukiona manyoya na damu ujue kaliwa.

Nitakuwa fair na wewe. Simba bado hawako vizuri. Villa wanacheza kwa Ku relax huwezi amini. Ngoja tuone kipindi cha pili ndo kimeanza.
 
Warundi hawajaja kaka wakati wa utambulisho Kamwaga kasema. Ila wadau wa Yanga tulimlalamikia Kamwaga kwa kuacha kwa makusudi kumtambulisha Ngassa kama alivyoahidi Leo angekuwepi.

Kamwaga kwani alikuwa anatambulisha na wale ambao hawakuwa wamevaa jezi? mimi nafikiri naye yuko kwenye lile kundi la Warundi ambao hawajaja au labda naye ni mhamiaji haramu karudi kwao, maana watu wanaotokea Geita inabidi kuwaangalia mara mbili mbili.
 
Kona kwa Simba baada ya shambulizi
Haina madhara
 
Humid katoka, sijajua nani kaingia
 
Villa ni kama hawataki goli. Labda wamepewa maelekezo
 
Back
Top Bottom