Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

Wakuu vipi Ajibu hajacheza leo? Mimi nipo safarini siangalii mpira
 
Hii jumanne n mbaya sana pale jangwani uwanja tumejazaa, mpira tunaupiga mwingi, wachezaji wapya wanajua mpaka wanajua tena, kapombe karudi kwenye namba yake na anawasha moto hatari[emoji3][emoji3][emoji3]
Nimesikia ameumia tena. Ni kweli?
 
Back
Top Bottom