Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

Hizi kazi bana, from najilinji..popote pale simba ipo.kweli hili taifa kubwa.
1565103719147.jpeg
 
Hivi na ndugu zangu Vyura FC mchezaji anayecheza namba zote ka MO wa Simba alisalimia wananchi???


Tajiri wa Yanga-Ndugu Dr Shika!!
Yaani anakimbia kiwanja mzima, dakika kumi kawafunika players.
Timu ya kishamba sana simba. Owner amfunike mchezaji? Hiyo umeona wapi?
 
Yaani anakimbia kiwanja mzima, dakika kumi kawafunika players.
Timu ya kishamba sana simba. Owner amfunike mchezaji? Hiyo umeona wapi?
Weka picha ya mwekezaji wenu Dr Shika anakimbia hata dakika 2 tuone Ka hatalazwa matopeni!
 
Hizi kazi bana, from najilinji..popote pale simba ipo.kweli hili taifa kubwa.View attachment 1173811
Kinondoni hii imekuwa nanjilinji hhhhhh...Hata hivyo hongereni kwa kujaza uwanja,hiki ni kielelezo cha kiasi gani watanzania wanapenda mpira wa miguu.Tangu juzi ile kwa Yanga na leo hivi ingawa Simba wanatafuta sifa sasa.
Wanasiasa washajua watanzania wanapatikana wapi na vipaumbele vyao,siku hizi hawakauki viwanjani kupeana promo hata jina halihusiki na kinachoongelewa ila kupaishana hakuishi.hata hivyo huku kujazwa kwa viwanja muje na matokeo mazuri kwenye ligi ya mabingwa,hatutegemei timu itoke raundi ya kwanza hapa.
 
Weka picha ya mwekezaji wenu Dr Shika anakimbia hata dakika 2 tuone Ka hatalazwa matopeni!
Wote Sisi's wawekezaji. Hujamsikia MO akiwataka muwe na Simba gala?
Anataka na nyinyi mchangie bakuli, siyo yeye tu.
Naona mnaanza kuiga kubwa kuliko.
 
Back
Top Bottom