Simba Day Concert | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simba Day Concert

Discussion in 'Sports' started by Crashwise, Aug 8, 2011.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kama ilivyo kawaida kila tarehe 8-8 ya kila mwaka simba hufanya tamasha ambalo hulitumia hii kutambulisha wachezaji, jezi zitakazotumiaka kwa msimu huo, kuuza jezi,kuandikisha wanachama wapya na kutoa zawadi kwa wananachama na wapenzi ambao walisha toa mchango kwa timu...tamasha hili leo linafanyeka mjini Arusha kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid...nitajitahidi kuwajuza kitakachokuwa kinaendelea..
   
 2. M

  Masuke JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mkuu asante kwa thread hii, kama utakuwa uwanjani usisahau kutuwekea picha hapa jamvini ili tuone mambo yatakayofanywa na chama letu.
   
 3. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,261
  Trophy Points: 280
  tunashukuru..ila waambie wenzao..Yanga na Azam wako Nje ya nchi wanajipima Nguvu..kabla kuanza ligi..wao wako na Tamasha..tucje kufungwa mechi ya ngao..tukatafuta sababu..eti maandalizi mabovu..kumbe tunacheza Bonanza
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  sisi tunaenda nje ya nchi kwa maandalizi nyie mnatoka msimbazi mnaenda ar kwa maonyesho...ndo maana tunawafunga.nyie kazi yenu mpira kwanini muende kwenye maonyesho kama wasanii wa bongo freva?ngao ya hisani mtakoma.ole wenu msitokee uwanjani.mia
   
 5. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,501
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  mkuu Crashwise hasa nina hamu ya kujua kiwango cha sasa cha beki nguli Tanzania nzima Victor Nampoka Costa "Nyumba".alivyoumia wadau walisema kwishney! Tena kigogo mmoja pale TFF aliniambia yule basi tena
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  tamasha limesha anza na mechi ya kwanza ilikuwa ya viongozi wa s arusha...matokeo simba na makocha wa hapa arusha na matokeo simba 2 na makocha 1..kinachofata ni wasanii kutumbuiza
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  nilifatilia mazoezi ya simba tangu wafike hapa arusha, alionyesha yuko vizuri..
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  acha uoga kama kwenda nje ndiyo mafanikio basi wangeenda hispania au brazil ili wakirudi wachukue kombe la kabu ingwa afrika lakini kama ni hapo sudani hatutishiki...tz tulienda kuweakmb brazil karibu mwezi lakini mehi iliyofua tuliadkwa nne..
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  nitajitahidi mkuu ingawa sina camera lakini mchina wangu naamini hata niangusha..
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kuna wasanii wanazomewa na mashabiki..
   
 11. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Timu ya wazee na Mateja! Tehe tehe tehe!
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  subiri tarehe 17 utajua nani teja na utajua kijiji hakikosi wazee
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  simba wamesha tambulisha vifaa vyao na mechi kati ya simba na victor ya uganda ndiyo inakaribia kuanza uwanja umejaa sana na watu wana nunua jezi..na simba wameahidiwa udhamini na mkurugenzi wa tanapa.
   
 14. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  walio enda sudani wamfungwa tatu moja. Mechi ilikuwa ya upande mmoja na hamisi kiiza aliwaokoa mababu hawa wanocheza mpira bungeni
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wanaoanzani juma kaseja, salum kanoni, salum mgusa, victor costa, patrick mafisango, kago,felex sunzu, Bobani,emmanuel okwi,said cholo..kwenye benchi yupo uhuru seleman,
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ambae anawasiwasi wa kiwango cha bobani amuulize mtu alieangalia mechi ya simba na victor...Boban yuko juu sana hakuna mchezaji wa kitanzania ninae mfahamu wa kiwango cha Boban
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Victor costa bado kiwango chake kiko vilevile..
   
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  sunzu alipachika goli dakika ya 44 likakataliwa
   
 19. M

  Masuke JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mkuu asante kwa updates, usisahau kutupa matokeo ya mwisho.
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mpaka sasa victor 1 na simba 0 goli limepatikana kwa njia ya penati..
   
Loading...