zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,529
- 27,740
kanyakua ila kwa idadi ndogo ukilinganisha na yanga, suala la kwenda na kurudi kapa hata simba kaenda na karudi kapa.Kwani Simba hajawahi kunyakua makombe? Na mbona huko muendako hakuna cha maana mtendacho zaidi kutia aibu soka la kubuatua na kurukaruka kama Chura hatimaye round ya awali tu nje.
Subiri Simba SC wamerejea na hatupoi.