Simba buana

Simba buana

Tareeq

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2010
Posts
828
Reaction score
408
IMG-20180218-WA0029.jpg
 
Mkuu, Kuna hoja gani kwa Mabingwa wa kihistoria nchi hii? Mara 27 and still counting! Anayefuata mara 18. Bado karne mbili kuifikia Yanga. Mengine ni kujifariji tu.
Thubutuu yako. Eti Still Counting! Labda malinzi arudi tena kwenye nyadhifa, maana hizo 27 asilimia 90% Tenga yupo, Malinzi yupo, Marefa wapo, Viporo vipo na mechi ya away Ndanda FC kuchezwa taifa imo... Bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
kweli nyie mbumbu fc..Mara 27 maana yake ni takriban miaka 27..sasa tenga na malinzi wametawala miaka mingapi?!
 
sasa sijui na msumu huu mtasingizia nini tena; ni kawaida ya yanga kushinda (in polepole voice)
 
Thubutuu yako. Eti Still Counting! Labda malinzi arudi tena kwenye nyadhifa, maana hizo 27 asilimia 90% Tenga yupo, Malinzi yupo, Marefa wapo, Viporo vipo na mechi ya away Ndanda FC kuchezwa taifa imo... Bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Enzi za Rage, Wambura ilikuwaje Kwani?
 
Thubutuu yako. Eti Still Counting! Labda malinzi arudi tena kwenye nyadhifa, maana hizo 27 asilimia 90% Tenga yupo, Malinzi yupo, Marefa wapo, Viporo vipo na mechi ya away Ndanda FC kuchezwa taifa imo... Bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Hilo uwe na uhakika nalo. Still counting!
 
kweli nyie mbumbu fc..Mara 27 maana yake ni takriban miaka 27..sasa tenga na malinzi wametawala miaka mingapi?!
Umeambiwa asilimia 90% na si 100% inaama zinazobakia ni uongozi mwingine. Shule muhimu wewe Vyura FC.

Ndo maana mnafungwa 5-0 na Simba SC
 
Wapelekee LIBOLO
Au waende Raja Casablanca mwaka 1998 Yanga alikula 6 kwa sifuri., aggregate ikawa 9-3.

Kana kwamba haitoshi, 2000 Zamalek akajipigia Yanga tena 5-1.

Waarab wanawapenda sana, tope laterezesha tu!
 
Nyie mnaowaweza Waarabu, mmepata Kombe lipi la CAF kwa kuweza Waarabu?
 
simba ushindi wake ni kuifunga yanga, yanga ushind wake ni kunyakua makombe hii ndo tofauti baina yao
 
Mabingwa wa kihistoria. Nyie hamuwezi kuja kuifikia rekodi yetu hata tushuke daraja. Makelele mengi hamna kitu.

Daima mbele nyuma mwiko
 
simba ushindi wake ni kuifunga yanga, yanga ushind wake ni kunyakua makombe hii ndo tofauti baina yao
Kwani Simba hajawahi kunyakua makombe? Na mbona huko muendako hakuna cha maana mtendacho zaidi kutia aibu soka la kubuatua na kurukaruka kama Chura hatimaye round ya awali tu nje.

Subiri Simba SC wamerejea na hatupoi.
 
Nyie mnaowaweza Waarabu, mmepata Kombe lipi la CAF kwa kuweza Waarabu?
Tumepata kucheza fainali kombe la CAF ambalo wewe hata nusu huwezi kufikia kucheza katika michuano hiyo...!

This is Simba SC... Our Slogan
 
Back
Top Bottom