Kama hupo kubishana usinganzisha huu uzi wako uliojaa takamwili.Me sipo hapa kubishana ngoja uone
Mimi Mshabiki kindakindaki wa Simba SC, naomba nipigwe ban ya milele JF Simba SC isipobeba ubingwa CAFCCL 2024/2025.Berkane ndo ilikuwa timu angalau yenye muscle πͺ kwenye mashindano ya shirikisho mwaka huu, maana timu zote zilikuwa dhaifu mno
Simba hajapata mechi ngumu
Mechi ngumu ndo hii ya final
Nina uhakika π― Simba hatapata goli wala on target hata 1
Atafungwa mechi zote na magoli mengi
Kikosi cha Simba ni dhaifu mno,
Simba hakuna mchezaji wa kupata nafasi ya kuanza tu pale Berkane
Simba haiwezi kupishana na RS Berkane
Simba ni under dogs πΆ Kwa RS Berkane
Kila la heri RS Berkane ma champion π wapya wa CAFCC
Masononeko fcBerkane ndo ilikuwa timu angalau yenye muscle πͺ kwenye mashindano ya shirikisho mwaka huu, maana timu zote zilikuwa dhaifu mno
Simba hajapata mechi ngumu
Mechi ngumu ndo hii ya final
Nina uhakika π― Simba hatapata goli wala on target hata 1
Atafungwa mechi zote na magoli mengi
Kikosi cha Simba ni dhaifu mno,
Simba hakuna mchezaji wa kupata nafasi ya kuanza tu pale Berkane
Simba haiwezi kupishana na RS Berkane
Simba ni under dogs πΆ Kwa RS Berkane
Kila la heri RS Berkane ma champion π wapya wa CAFCC
PoleMimi Mshabiki kindakindaki wa Simba SC, naomba nipigwe ban ya milele JF Simba SC isipobeba ubingwa CAFCCL 2024/2025.View attachment 3334492
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
JF ina vitoto vingi sana nowdays. vinaharibu sana JF wewe ukiwa mmoja wao, hapana shaka member mashuhuri wenye upeo wamepunguza sana kutoa mawazo yao.Berkane ndo ilikuwa timu angalau yenye muscle πͺ kwenye mashindano ya shirikisho mwaka huu, maana timu zote zilikuwa dhaifu mno
Simba hajapata mechi ngumu
Mechi ngumu ndo hii ya final
Nina uhakika π― Simba hatapata goli wala on target hata 1
Atafungwa mechi zote na magoli mengi
Kikosi cha Simba ni dhaifu mno,
Simba hakuna mchezaji wa kupata nafasi ya kuanza tu pale Berkane
Simba haiwezi kupishana na RS Berkane
Simba ni under dogs πΆ Kwa RS Berkane
Kila la heri RS Berkane ma champion π wapya wa CAFCC
Rais wa RS Berkane ndo makamu wa Rais wa CAFHapana , Mechi na wale wa South ilikua ngumu kwa Simba ila tukiacha kuangalia mambo kwa mihemko na ushabiki huwezi kuona ugumu wake.
Wale wa South walitolewa na Marefa, walistahili kupata matokeo mechi zote mbili, walipambana uwanjani na walistahili kupata kitu ila dhulma ili waondoa mashindano ni.
Kwasasa Simba wapo vizuri nje ya uwanja ila uwanjani wanazidiwa mbali ata na Azam na Singida.
Tofauti iliyopo ni mipango nje ya uwanja, ata apa kwenye Ligi, Simba Kuna alama zisizo pungua 8/9 wamezipata kwa nguvu ya nje ya uwanja ila uwanjani ilisha shindikana.
tit for tatSimba dhaifu,huku mnakuja kusema hatuchezi
Omba 'ban' sasa ikitokea Simba ameshinda.Berkane ndo ilikuwa timu angalau yenye muscle πͺ kwenye mashindano ya shirikisho mwaka huu, maana timu zote zilikuwa dhaifu mno
Simba hajapata mechi ngumu. Mechi ngumu ndo hii ya final
Nina uhakika π― Simba hatapata goli wala on target hata 1. Atafungwa mechi zote na magoli mengi.
Kikosi cha Simba ni dhaifu mno, Simba hakuna mchezaji wa kupata nafasi ya kuanza tu pale Berkane. Simba haiwezi kupishana na RS Berkane.
Simba ni under dogs πΆ Kwa RS Berkane
Kila la heri RS Berkane ma champion π wapya wa CAFCC
Huna kazi ya kufanya?Berkane ndo ilikuwa timu angalau yenye muscle πͺ kwenye mashindano ya shirikisho mwaka huu, maana timu zote zilikuwa dhaifu mno