mechi ya yanga na simba kuharishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kingphisher

    JamiiForums Tanzania TFF mmeshindwa kutafsiri kanuni za mpira mnaingiza serikali?

    Busara gani? siasa gani? serikali ya nini? TFF mmeshindwa kutafsiri kanuni za mpira mnaingiza serikali? mnaona na mnajua kabisa mkifuata sheria na kanuni za mpira moja kati hizo timu mbili (Simba/Yanga) itashuka daraja? Maana yake mmedharau kanuni za kimpira mkaingiza serikali? sasa kama...
  2. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Simba asingesema kua Hatocheza Match, TFF na Bodi mngeahirisha Match?

    Nawaza tu hata wewe waza Bodi ilitoa hoja za usalama na Rushwa najiuliza. Hivi Simba walivyozuiwa kupiga mazoezi ingetoa wakaacha kutoa Taarfa ya kugomea kucheza Match! Bodi mngeahirisha game Kwa hizo hoja zenu?? Au ndio imekua corner stone? Hapo ndio watu wanapopat ukakasi wanajiuliza Hilo...
Back
Top Bottom