Simba aruhusiwe kucheza mechi vs Wydad ianze saa tisa kwa Mkapa kwenye jua. Kama Mamelodi anavyoanza mechi zake na Waarabu saa tisa kwenye jua

Hujajibu alicho kuuliza,

Anatetea sababu ya kuichukia Simba ama mapenzi kwa mamelodi.

Waarabu wenyewe wanajua mbinu ya Mamelodi ya kucheza juani ni mbinu chafu na Wanailalamikia.

Mamelodi akicheza na waarabu anafosi mechi ichezwe saa tisa kwenye jua. Link ya ushahidi wa malalamiko hiyi hapo

 
Back
Top Bottom