Simba akifuzu nipigwe ban ya wiki

Safi, uongozi haucheki na yeyote πŸ˜‚
 
Mwalimu Nyelele ameacha Taifa la Ajabu mno.

Vijana hawa ni Wapumbavu mno, Tofauti kabisa na Wale mwaalimu aliowataka katika taifa.

Nyanya kabisa.
Taifa hili halijawahi kuwa na kiongozi alie acha vijana wapumbavu mno akiitwa Nyelele. Huenda unamsema Nyerere. Na hawa unaosema vijana wapumbavu mno leo aliwaacha hawajazaliwa. Pia hakuwa na muda wa kufundisha upumbavu vichwani mwa watu.
 
Da sitoomba tena ban yani wiki moja imekuwa kama mwezi hakika jf wako makini
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hizi kauli za kuomba kupigwa ban huwa zinafurahisha sana
 
Wadau nimeshapigwa ban na nikafunguliwa naomba niweke kumbukumbu sawa maana nisije nikapigwa tena wakijua ni ombi jipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…